Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Halafu kombe hilo hilo mnalolidharau (mkiringia mmlichuano ya Mapinduzi Cup) ndilo limeifanya Yanga iwashushe makolokoloni FC kwenye ubora wa vilabu AfrikaUbingwa wa Afrika watautwaa vipi wakati wenyewe wNshiriki KOMBE la shirikisho. Kuutwa ubingwa LAZIMA ushiriki mashindano ya klabu bingwa