Mkuu unafikiri ni rahisi kuingiza timu kienyeji kama hivyo? Ni mwendelezo wa matokeo mazuri ya muda mrefu katika mashindano ya CAF clubs ndio umeiingiza Simba huko, sio zali la mwaka mmoja.Sidhani kama Simba ataendelea kuwa huko peke yake kutoka TZ/EA. Na kwa jinsi wanavyosua sua, pengine watani wao wakaingia.
Na mkiendelea kuongeaongea Simba watazuia hata mashindano ya shirikisho yasichezewe pale π€£ππ€£πSimba bado hajaridhika na aibu anayoileta kwa nchi kwenye club bingwa bado anataka kuitangaza nchi vibaya kupitia super cup!
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Wakikujibu uni_tagKwa hiyo hilo litaondoa ubingwa wa Yanga msimu huu?
BabuMkubwaAnzeni kutafuta uwanja mtakaokabidhiwa kikombe chenu au mtaletewa na bodaboda π€£ππ€£ππ€£
Simba sio kwamba inataka yenyewe, bali inatakiwa na CAF. Kuna watu walienda kujialika kwenye mkutano wa CAF kule Arusha kwenda kumuona Rais wa CAF, lakini amewapotezea. Ni suala la kitaalamu, sio lobbyingSimba bado hajaridhika na aibu anayoileta kwa nchi kwenye club bingwa bado anataka kuitangaza nchi vibaya kupitia super cup!
Umeielewa hiyo tweet lakini?[emoji1610]View attachment 2532939
Naona leo umeamua kuwapa za uso.Na mkiendelea kuongeaongea Simba watazuia hata mashindano ya shirikisho yasichezewe pale [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]