Simba yaizuia Yanga kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa

Simba yaizuia Yanga kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa

Simba sio kwamba inataka yenyewe, bali inatakiwa na CAF. Kuna watu walienda kujialika kwenye mkutano wa CAF kule Arusha kwenda kumuona Rais wa CAF, lakini amewapotezea. Ni suala la kitaalamu, sio lobbying
Simba hii ya akina Sawadogo na Kibu au ipi?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya CAF kutoa maelekezo kuhusiana na mashindano ya Super Cup, uwanja wa Benjamin Mkapa umefungwa isipokuwa kwa mashindano ya kimataifa pekee.

Kwa hiyo mashindano mengine yoyote ikiwemo yale ya Ligi ya NBC yataendelea katika viwanja vingine, kwa hiyo Yanga na Simba watalazimika kutumia viwanja vingine kama vile Uwanja wa Uhuru kwa ajili ya mashindano hayo.

Ikumbukwe ni Simba pekee kutoka Tanzania ndiye anategemewa kushiriki katika mashindano hayo ya Super Cup. Kwa tafsiri nyingine ni kuwa ushiriki wa Simba katika Super Cup umeharibu uenyeji wa Yanga katika mashindano ya ndani na hawana la kufanya masikini.
Kanjanja FC.
 
Umeielewa hiyo tweet lakini?

Vizuri Sana, Then Kilichofata Ni Kichapo Kikali Pale Kwa Mkapa Maee [emoji1787][emoji1787][emoji1787], Na Bado Morocco Mnaenda Kupewa Kichapo Kingine Heavy [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vizuri Sana, Then Kilichofata Ni Kichapo Kikali Pale Kwa Mkapa Maee [emoji1787][emoji1787][emoji1787], Na Bado Morocco Mnaenda Kupewa Kichapo Kingine Heavy [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana haujaielewa. Uliza wenzio watakuelewesha.
 
Hapana haujaielewa. Uliza wenzio watakuelewesha.

Hakijaeleweka Nini, Huyo Bwana Si Ndio Aliowapamba Nyie Ndio Wakombozi Wa Wanyonge Huku Ukanda Wa CECAFA Ama?, Then Kilichofata Wakombozi Wa Wanyonge Mkala Chuma Tatu Pale Kwa Mkapa Kama Mmesimama [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], Na Bado Morocco Raja Wanaenda Kuanzia Walipoishia Hapa Kwa Mkapa Dhidi Ya Wakombozi Wa Wanyonge [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakijaeleweka Nini, Huyo Bwana Si Ndio Aliowapapamba Nyie Ndio Wakombozi Wa Wanyonge Huku Ukanda Wa CECAFA Ama?, Then Kilichofata ...
Haya kwa kuwa umegoma kuwauliza wenzio ngoja nikusaidie kidogo. Hapo ameorodhesha vipigo vya NYUMBANI kwa Raja, lakini ile mechi na Simba haikuchezewa Morocco. Pili, vipigo vya 6-0 na 5-0 siyo sawa na 3-0.

Turudi kwenye mada tafadhali.
 
Si Mliwacheka Vipers Kupigwa Tano Kule, Sasa Subiri Zamu Yenu Wakombozi Wa Wanyonge [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nionyeshe ushahidi kuwa Simba waliwacheka Vipers baada ya kufungwa na Raja. Pili, Simba hawezi kufungwa 5 kule, hilo nakuahidi.

Turudi kwenye mada.
 
Ikumbukwe ni Simba pekee kutoka Tanzania ndiye anategemewa kushiriki katika mashindano hayo ya Super Cup. Kwa tafsiri nyingine ni kuwa ushiriki wa Simba katika Super Cup umeharibu uenyeji wa Yanga katika mashindano ya ndani na hawana la kufanya masikini.
Hakuna kitu kama hicho cha Simba peke yake kushiriki super cup! Mashabiki wa Simba hawanaga akili, wanalazimisha kitu ambacho hakipo!

Ukweli ni kwamba mpaka sasa hivi timu za super cup zote hazijajulikana. Jumla ni timu 24 ndizo zitashiriki kombe hilo kutoka vyama 16 vya soka Bargni Afrika.
 
Haya kwa kuwa umegoma kuwauliza wenzio ngoja nikusaidie kidogo. Hapo ameorodhesha vipigo vya NYUMBANI kwa Raja, lakini ile mechi na Simba haikuchezewa Morocco. Pili, vipigo vya 6-0 na 5-0 siyo sawa na 3-0.

Turudi kwenye mada tafadhali.

Wewe Ndio Hujaelewa, Hizo Ni Mechi Ambazo Raja Kashinda Kwake, Viper Hajapigwa Tano Kwake Kafungwa Kule Morocco Ambapo Nyie Wakombozi Wa Wanyonge Mtaenda Baada Ya Huku Kupewa Nusu Dozi Ya 0-3, Kule Mnaenda Kupewa Dozi Kamili [emoji1787]
 
Hakuna kitu kama hicho cha Simba peke yake kushiriki super cup! Mashabiki wa Simba hawanaga akili, wanalazimisha kitu ambacho hakipo! Ukweli ni kwamba mpaka sasa hivi timu za super cup zote hazijajulikana. Jumla ni timu 24 ndizo zitashiriki kombe hilo kutoka vyama 16 vya soka Bargni Afrika.
Duh!
 
Wewe Ndio Hujaelewa, Hizo Ni Mechi Ambazo Raja Kashinda Kwake, Viper Hajapigwa Tano Kwake Kufungwa Kule Morocco Ambapo Nyie Wakombozi Wa Wanyonge Mtaenda Baada Ya Huku Kupewa Nusu Dozi Ya 0-3, Kule Mnaenda Kupewa Dozi Kamili [emoji1787]
Mkuu mbona unateseka na Super League? Usihofu, huenda mtaanzishiwa ligi nyingine
 
Nionyeshe ushahidi kuwa Simba waliwacheka Vipers baada ya kufungwa na Raja. Pili, Simba hawezi kufungwa 5 kule, hilo nakuahidi.

Turudi kwenye mada.

Tulia Kwa Timu Gani Wewe Usipgwe Tano Au Sita Kule, Huyo Bocco Na Mzamiru Ndo Wanakupa Jeuri?, Kama Tu As Vita Alikupiga Tano Kwake Atashindwa Raja Casablanca? [emoji23]
 
Mkuu mbona unateseka na Super League? Usihofu, huenda mtaanzishiwa ligi nyingine
Na anateseka kweli masikini. Wamezinduka leo wanataka kujilinganisha na wengine ambao wamekuwa na ubora kwa karibu miaka 4.
 
Nionyeshe ushahidi kuwa Simba waliwacheka Vipers baada ya kufungwa na Raja. Pili, Simba hawezi kufungwa 5 kule, hilo nakuahidi.

Turudi kwenye mada.

Hapa Tu Mmepasuka Kamba 3, Kule Watashindwa Kuwapiga Sita Nyie?, Tena Naziona Saba Kabisa [emoji1787]
 
Back
Top Bottom