SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
- Thread starter
- #41
Turudi kwenye hoja tafadhali.Tulia Kwa Timu Gani Wewe Usipgwe Tano Au Sita Kule, Huyo Bocco Na Mzamiru Ndo Wanakupa Jeuri?, Kama Tu As Vita Alikupiga Tano Kwake Atashindwa Raja Casablanca? [emoji23]
Ukiongea sana unaweza kusababisha Simba wawazuie hata mechi zenu zilizobaki za makundi msichezee pale maana mnaweza hujumu uwanja kwa wivu mlio nao.