Simba yaizuia Yanga kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa

Dah, haya yote wamesababisha Simba, nimelia sana 😪😪. Ila nilijua tu wasingechagua kutumia uwanja wa Uhuru, nawajua vizuri sana hawa Yanga.

Halafu si walisema Azam ndiyo walitaka kumrubuni Feisal?

20230301_154553.jpg
 
Wanasimba mnahaha sana kuikandia Yanga baada ya kukosa makombe misimu miwili. Mlijiita wa kimataifa Sasa hivi mnachechemea makundi CAF stori hiyo imekata!
Kila siku hamkosi Cha kusema kuiponda Yanga pamoja na kuwapasua Kila mechi ya watani!

Super league mtapigwa mechi zote na itapita. Muanze kutafuta jingine!
 
Simba anachechemea kivipi kwenye makundi wakati anahitaji mechi sawa na Yanga ili kufuzu?
 
Back
Top Bottom