permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Simba hii ya akina Sawadogo na Kibu au ipi?Simba sio kwamba inataka yenyewe, bali inatakiwa na CAF. Kuna watu walienda kujialika kwenye mkutano wa CAF kule Arusha kwenda kumuona Rais wa CAF, lakini amewapotezea. Ni suala la kitaalamu, sio lobbying
murembooo oooooh?how are you uuuuuuuuiiiiiuuuuiDuh aiseee
Kanjanja FC.Baada ya CAF kutoa maelekezo kuhusiana na mashindano ya Super Cup, uwanja wa Benjamin Mkapa umefungwa isipokuwa kwa mashindano ya kimataifa pekee.
Kwa hiyo mashindano mengine yoyote ikiwemo yale ya Ligi ya NBC yataendelea katika viwanja vingine, kwa hiyo Yanga na Simba watalazimika kutumia viwanja vingine kama vile Uwanja wa Uhuru kwa ajili ya mashindano hayo.
Ikumbukwe ni Simba pekee kutoka Tanzania ndiye anategemewa kushiriki katika mashindano hayo ya Super Cup. Kwa tafsiri nyingine ni kuwa ushiriki wa Simba katika Super Cup umeharibu uenyeji wa Yanga katika mashindano ya ndani na hawana la kufanya masikini.
Umeielewa hiyo tweet lakini?
Hapana haujaielewa. Uliza wenzio watakuelewesha.Vizuri Sana, Then Kilichofata Ni Kichapo Kikali Pale Kwa Mkapa Maee [emoji1787][emoji1787][emoji1787], Na Bado Morocco Mnaenda Kupewa Kichapo Kingine Heavy [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana haujaielewa. Uliza wenzio watakuelewesha.
Haya kwa kuwa umegoma kuwauliza wenzio ngoja nikusaidie kidogo. Hapo ameorodhesha vipigo vya NYUMBANI kwa Raja, lakini ile mechi na Simba haikuchezewa Morocco. Pili, vipigo vya 6-0 na 5-0 siyo sawa na 3-0.Hakijaeleweka Nini, Huyo Bwana Si Ndio Aliowapapamba Nyie Ndio Wakombozi Wa Wanyonge Huku Ukanda Wa CECAFA Ama?, Then Kilichofata ...
Hapana haujaielewa. Uliza wenzio watakuelewesha.
Nionyeshe ushahidi kuwa Simba waliwacheka Vipers baada ya kufungwa na Raja. Pili, Simba hawezi kufungwa 5 kule, hilo nakuahidi.Si Mliwacheka Vipers Kupigwa Tano Kule, Sasa Subiri Zamu Yenu Wakombozi Wa Wanyonge [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna kitu kama hicho cha Simba peke yake kushiriki super cup! Mashabiki wa Simba hawanaga akili, wanalazimisha kitu ambacho hakipo!Ikumbukwe ni Simba pekee kutoka Tanzania ndiye anategemewa kushiriki katika mashindano hayo ya Super Cup. Kwa tafsiri nyingine ni kuwa ushiriki wa Simba katika Super Cup umeharibu uenyeji wa Yanga katika mashindano ya ndani na hawana la kufanya masikini.
Haya kwa kuwa umegoma kuwauliza wenzio ngoja nikusaidie kidogo. Hapo ameorodhesha vipigo vya NYUMBANI kwa Raja, lakini ile mechi na Simba haikuchezewa Morocco. Pili, vipigo vya 6-0 na 5-0 siyo sawa na 3-0.
Turudi kwenye mada tafadhali.
Tuwaulize CAFSimba hii ya akina Sawadogo na Kibu au ipi?
Duh!Hakuna kitu kama hicho cha Simba peke yake kushiriki super cup! Mashabiki wa Simba hawanaga akili, wanalazimisha kitu ambacho hakipo! Ukweli ni kwamba mpaka sasa hivi timu za super cup zote hazijajulikana. Jumla ni timu 24 ndizo zitashiriki kombe hilo kutoka vyama 16 vya soka Bargni Afrika.
Mkuu mbona unateseka na Super League? Usihofu, huenda mtaanzishiwa ligi nyingineWewe Ndio Hujaelewa, Hizo Ni Mechi Ambazo Raja Kashinda Kwake, Viper Hajapigwa Tano Kwake Kufungwa Kule Morocco Ambapo Nyie Wakombozi Wa Wanyonge Mtaenda Baada Ya Huku Kupewa Nusu Dozi Ya 0-3, Kule Mnaenda Kupewa Dozi Kamili [emoji1787]
Nionyeshe ushahidi kuwa Simba waliwacheka Vipers baada ya kufungwa na Raja. Pili, Simba hawezi kufungwa 5 kule, hilo nakuahidi.
Turudi kwenye mada.
Nionyeshe ushahidi kuwa Simba waliwacheka Vipers baada ya kufungwa na Raja. Pili, Simba hawezi kufungwa 5 kule, hilo nakuahidi.
Turudi kwenye mada.