Simba yaizuia Yanga kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa

Tulia Kwa Timu Gani Wewe Usipgwe Tano Au Sita Kule, Huyo Bocco Na Mzamiru Ndo Wanakupa Jeuri?, Kama Tu As Vita Alikupiga Tano Kwake Atashindwa Raja Casablanca? [emoji23]
Turudi kwenye hoja tafadhali.

Ukiongea sana unaweza kusababisha Simba wawazuie hata mechi zenu zilizobaki za makundi msichezee pale maana mnaweza hujumu uwanja kwa wivu mlio nao.
 
Na anateseka kweli masikini. Wamezinduka leo wanataka kujilinganisha na wengine ambao wamekuwa na ubora kwa karibu miaka 4.

Miaka Minne Yenu Ya Kupotea Ndio Imeanza Kama Hujui Mimi Ndio Nakujuza, Yanga Tutawala
Hili Soka La Bongo Kwa Muda Mrefu Kuanzia Sasa, Kama Unabisha Angalia Kwanza Mnavotolewa Kwenye Hatua Ya Makundi Huko CAF.
 
Turudi kwenye hoja tafadhali.

Ukiongea sana unaweza kusababisha Simba wawazuie hata mechi zenu zilizobaki za makundi msichezee pale maana mnaweza hujumu uwanja kwa wivu mlio nao.

Ukiwa Na Timu Bora Unashinda Kwenye Uwanja Wowote Ule, Ttz Sio Uwanja, Una Timu Ya Kukufanya Unufaike Na Huo Uwanja?, Sio Unalilia Kutumia Uwanja Wakati Mpira Hamjui Mnapigwa Tatu Bila Na Mpira Mkubwa Mnapigiwa Mbele Ya Kundi Kubwa La Mashabiki Wenu [emoji1787][emoji1787]
 
Hivi mlihusishwa katika maamuzi haya? 🤣😂🤣

Nasubiri kuona viongozi wenu watawaambiaje kuhusu hili ukizingatia huwa hamkubali kuwa nyie ni wa kawaida saaana. Kwa hasira mnaweza kuamua kucheza mechi zenu Dodoma!
 
Kuna mambo yanachekesha sana,kwa kifupi umewabana jamaa hawajui hata wajibu nini'
 
ILI MRADI UPATE NENO LA "SIMBA YAIZUIA YANGA " URIDHIKE.

LALA UNONO SASA
 
Kichwa chako cha Habari ( Uzi ) hakiendani na Content katika huu Uzi wako. Simba SC ( ambayo pia Naishabikia ) haina Uwexo Kisheria au Ubavu wa Kuizuia Yanga SC kutoutumia Uwanja wa Mkapa

Ni Upumbavu usiovumilika kama kuna Watu wanadhani kuwa kufanya vibaya kwa Simba SC katika CAFCL kunatokana na Kushea Kimatumizi kwa Uwanja wa Mkapa na Klabu ya Yanga SC.

Simba SC tungekuwa na Kikosi imara kwa Mashindano ya Ligi Kuu na Michuano ya Kimataifa kamwe Mashabiki tusingekuwa na Fikra hizi na Imani hii ya Kipumbavu na isiyo ya Kimchezo.

Tubadilike Kufikra.
 
Uhuru ipo, mechi zitapigwa hapo....

La hasha , Yanga hupenda pia kuutumia uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kama mbadala wa viwanja vya Dar...
 
Uzuri wa Yanga hata uwapeleke sayari ya Jupiter watacheza na kupata ushindi nyinyi utumie tu wanaojua waje hapohapo kuwapiga thalatha
 
Kuna watu ni wajinga sana Rage hakukosea
 
Sikuwa hata nawaza hizo imani na fikra unazoongelea. Nadhani mada haujaielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…