Simba yajiandaa na upigaji penati Lubumbashi

Simba yajiandaa na upigaji penati Lubumbashi

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Leo Simba wamefanya mazoezi ya upigaji penati kwa kujiandaa na hatua hiyo Kama mchezo utaisha 0-0 kule Lugumbashi na TP Mazembe wachezaji okwi, kagere, Bocco, nyoni , mkude na chama walijifua kwa upigaji huo.
Mchezo wa Simba na TP Mazembe utachezwa jumamosi saa 10 kamili jioni na endapo mchezo huo utaisha kwa matokeo ya Bila kufungana mikwaju ya penati itaamua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasimba jiandaeni kisaikolojia kuwa hapo mlipofikia panatosha. TP Mazembe hawezi kukuacheni salama.

Kila la kheti TP Mazembe
 
kitongoji cha kamalondo mjini lubumbashi.. ndani ya tp mazembe stadium mnyama anaunguruma
 
Back
Top Bottom