brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Leo Simba wamefanya mazoezi ya upigaji penati kwa kujiandaa na hatua hiyo Kama mchezo utaisha 0-0 kule Lugumbashi na TP Mazembe wachezaji okwi, kagere, Bocco, nyoni , mkude na chama walijifua kwa upigaji huo.
Mchezo wa Simba na TP Mazembe utachezwa jumamosi saa 10 kamili jioni na endapo mchezo huo utaisha kwa matokeo ya Bila kufungana mikwaju ya penati itaamua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchezo wa Simba na TP Mazembe utachezwa jumamosi saa 10 kamili jioni na endapo mchezo huo utaisha kwa matokeo ya Bila kufungana mikwaju ya penati itaamua.
Sent using Jamii Forums mobile app