Una roho mbaya mpaka shetani anatoka mbiohii mechi haitafika matuta, simba wajifunze jinsi ya kupunguza magoli.
Swahiba unaoneja hii maana Kuna wanga wanachawia idadi kubwa ya magolihii mechi haitafika matuta, simba wajifunze jinsi ya kupunguza magoli.
We're hutaki kucheza champions league msimu uyao?Wanasimba jiandaeni kisaikolojia kuwa hapo mlipofikia panatosha. TP Mazembe hawezi kukuacheni salama.
Kila la kheti TP Mazembe
Ukweli gani mpira haujachezwa
Ukweli gani mpira haujachezwa
Kesho utaweka wapi sura yako Mnyama akitoboa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora wacheze mpira maana wakiutoboa itakuwa aibu... Kila la kheri tp mazembe...Naamini mnyama atatoboa mkuu.
ukitaka simba apotezeBora wacheze mpira maana wakiutoboa itakuwa aibu... Kila la kheri tp mazembe...