Sura imekaa inapokaa siku zote,.. Mwenzangu sura yako umeiweka wapi?... Mnyama katoboa au katobolewa?Ukweli gani mpira haujachezwa
Kesho utaweka wapi sura yako Mnyama akitoboa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonaje kwa sasa, bado ni utabiri?Utabiri ndio ukweli??ukweli ni jambo lililokwisha kutokea
Bado mnapiga matuta? Hakuna mvua, viazi tusahau.Ameaga kivipi?uwanja wa Taifa iliisha 0-0
Kanuni zinasema kinachofuata Ni matuta
Sasa hivi ndio kweli.Ni kweli Simba imepigwa 4-1 na kutolewaUnaonaje kwa sasa, bado ni utabiri?
Kwa hiyo nikikwambia hapa leo kwamba ipo siku utakufa, hautaamini mpaka utakapo kufa?Sasa hivi ndio kweli.Ni kweli Simba imepigwa 4-1 na kutolewa
Ushahidi wa Kufa upo ndugu,watu wanakufa kila siku,Kuna vitu already proven,ukirusha jiwe juu litarudi chini,huwezi kukataa hilo.Hata hivyo ukiniambia nitakufa siku flani nitakaa mpaka siku hiyo ifike nianze kufa nikaona nakufa kweli ndio nitakubali nimekufaKwa hiyo nikikwambia hapa leo kwamba ipo siku utakufa, hautaamini mpaka utakapo kufa?
Sasa tunatofautiana ufahamu. Kwa mwenye kuufahamu vyema mpira wa miguu, Simba Koko kufungwa na TP Mazembe is a given fact.Ushahidi wa Kufa upo ndugu,watu wanakufa kila siku,Kuna vitu already proven,ukirusha jiwe juu litarudi chini,huwezi kukataa hilo.Hata hivyo ukiniambia nitakufa siku flani nitakaa mpaka siku hiyo ifike nianze kufa nikaona nakufa kweli ndio nitakubali nimekufa
Given fact? Basi Simba wasingepeleka timu.Sasa tunatofautiana ufahamu. Kwa mwenye kuufahamu vyema mpira wa miguu, Simba Koko kufungwa na TP Mazembe is a given fact.
Lipuli wanawashabiki hukoBado mnapiga matuta? Hakuna mvua, viazi tusahau.
Kwa hiyo unakiri kwamba mlienda kujaribu kufanya yasiyotarajiwa? Usiogope, hiyo ipo. Timu inakuwa imeshashuka daraja lakini kiutaratibu lazima imalizie mechi zake zilizobaki, na ndio kitu Simba walienda kufanya Lubumbashi. Muulize hata Manara atakwambiaGiven fact? Basi Simba wasingepeleka timu.
Mpira usingekuwa na matokeo yasiyotarajiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa tunatofautiana ufahamu. Kwa mwenye kuufahamu vyema mpira wa miguu, Simba Koko kufungwa na TP Mazembe is a given fact.
Nani alikwambia kwamba ulikuwa ni utabiri? Nani amesema kwamba huo unaodhani ni utabiri umebase kwenye matokeo ya mechi za nyuma?Hakunaga Fact ya jambo ambalo halijatokea na halipo already proven, Fact ni jambo lilithibitishwa au limekwisha kutokea...Utabiri sio Fact period.Kaangalie Dictionary...Definition of fact - a thing that is known or proved to be true.
Kukufafanulia ili uelewe...Katika Mechi 4 Ambazo Mazembe na Simba zimekutana,TP Mazembe Kashinda mechi 3 na mechi 1 wametoa Drop,...That is Fact.Kusema Simba akicheza kesho na Mazembe atafungwa kwa vile kafungwa na Mazembe mechi 3 kati ya NNE,na juzi tu katoka kupigwa 4-1 Huu ni Utabiri sio Fact.
Ukishindwa kuelewa hapa basi utanisamehe nitashindwa kukuelewesha zaidi
Kwa hiyo Manara aliwapowapumbaza eti level yenu kwasasa ni Man City, Barcelona, Juventus mkaamini kabisa mpaka mkajivika tope akilini la kuifunga Mazembe Lubumbashi?Given fact? Basi Simba wasingepeleka timu.
Mpira usingekuwa na matokeo yasiyotarajiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kufungwa na Mazembe Ni ajabu?Kwa hiyo Manara aliwapowapumbaza eti level yenu kwasasa ni Man City, Barcelona, Juventus mkaamini kabisa mpaka mkajivika tope akilini la kuifunga Mazembe Lubumbashi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wamefungwa kagera eti.