Haipo shida Mtani ila walau angekuwa na experience ya kile anachoenda kukifanya bana.Hamna sasa mtu unasema moo kamuhonga cheo mchepuko wake.
Si mtoto wa kike cha kumpa anacho shida ipo wapi?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Senzo ni bukheri wa afya Alhamdulillah.
Mtegemee makubwa kutoka kwa Wananchi this season.
Sawa Mtani.Nawapeni miaka 1,000 HAMTOKUJA KUJENGAA UWANJA KAMWE.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Haipo shida Mtani ila walau angekuwa na experience ya kile anachoenda kukifanya bana.
Naamini hii timu si ile ya kina Yikpe hivyo kupoteana sikutegemei Mtani.Ligi inaanza leo.
Msije mkapoteana..
Hao wachezaji wenu mliowaokota okota msije mkawachukia
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hahahaha, hy hashtag yako kibokoMbwembwe za uwanja hadi wa leo kimyaa.
Hio interview ukute keshamwambia domo aifiche. Yaan masuala nyeti ya club unaenda yasemea kwenye media ya udaku daah choriii smart sana.
Wakizidi kuhoji sana wataambiwa ile bill ilianza tumika kukodi usafiriwa domo simba day na uwanja haukujaa kama wananchi walivyoujaza.
#Barbarafc
#secretarykapandacheo
Ceo ana majukumu yake.
Ambayo hayahusiani na mpira kabisa.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hivi hili ndo lilikuwa goli la tatu rafiki ee?
Mimi nimehama simba kwa ajili ya ujinga wa huyu Mohamed mtu kwanza anaendesha Project za Familia leo ndio anakuwa most influencer katika Club hizo pesa anazodai anatoa ni kuwa nae anafanya matangazo kupitia simba, nilivo ona Mohamed amekuja na Tangazo kuwa Barbara kapoteza iPhones mbili Taifa siku ya Simba day kwanza nilihisi kuwa ni usanii wa kutafutiwa followers wengi kwenye social media mana ni Mo mwenyewe ndio ali announce na kumquote bidada sasa nilivo ona tu Mo kamtangaza nkajua tayari huyu anandaliwa postion kubwa sana Simba mana amekuwa assistance wa Mo na ana lead iyo foundation ya Mo, Kwa kweli simba waangalie sana huyu Mhindi ata wa drag to the grave akiona wako hoi atawatema, Mtu sio Majority shareholder ila ana influence kubwa ivi kwa nini, Mo adhibitiwe na Ajue simba sio mali yake mambo yakuleta ukoo wake ndani ya simba hatutaki ni soon mtamsikia na Fatema Dewji kapewa cheo apo simba haswa upande wa Marketing its a big shame.
Kama ni hivyo,Basi badala ya kumfata senzo,mngempa manala hicho cheo watu wasingelalamika sana kwa barbara
Majukumu kama yapi hayo Mtani ambayo yapo nje ya mpira?Ceo ana majukumu yake.
Ambayo hayahusiani na mpira kabisa.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hivi hili ndo lilikuwa goli la tatu rafiki ee?
Mana nasikia mpaka sasa Kigwa na magoli manne huku chori chorri ana moja. π€£π€£π€£π€£
#Barbara Fc.
View attachment 1560162View attachment 1560163Majukumu kama yapi hayo Mtani ambayo yapo nje ya mpira?
hata akiwapa watoto zake na wake zake ivyo vyeo kama timu inapata mafanikio kuna ubaya gani???kati ya kipindi ambacho alikwepo na kipindi ambacho hakwepo ni kipindi kipi ambacho simba imepata mafanikio...???ipi ni shida kwako haswa.. mbona izo timu ambazo haziendeshwi kiundugu unaousema wewe hazina mafanikio yoyote???
Majukumu kama yapi hayo Mtani ambayo yapo nje ya mpira?
Kivip na amaefanya yep? mpaka uje hapa na hilo neno eti she is very professional bila wasifu wake tutaona naye ni muhamasishaji tu kama Manara
Hii ni pisi ya Mwamedi na ndiyo aliyemfitinisha Mwamedi na Senzo.
In short hapo Mwamedi ana nafasi mbili za uongozi ndani ya Simba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]