Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

118827217_397407764578762_8736407526797776520_n.jpg
 
Mbwembwe za uwanja hadi wa leo kimyaa.

Hio interview ukute keshamwambia domo aifiche. Yaan masuala nyeti ya club unaenda yasemea kwenye media ya udaku daah choriii smart sana.

Wakizidi kuhoji sana wataambiwa ile bill ilianza tumika kukodi usafiriwa domo simba day na uwanja haukujaa kama wananchi walivyoujaza.

#Barbarafc
#secretarykapandacheo
Hahahaha, hy hashtag yako kiboko
 
Mo: kila mwaka ninatoa ruzuku ya Tsh Bilioni 3 kwa klabu ya simba

Baada ya miaka 7 kila mtu anajua tutaambiwa nini?

Ni sawa na kufumba macho ili jiwe lisikupate [emoji3]
Mimi nimehama simba kwa ajili ya ujinga wa huyu Mohamed mtu kwanza anaendesha Project za Familia leo ndio anakuwa most influencer katika Club hizo pesa anazodai anatoa ni kuwa nae anafanya matangazo kupitia simba, nilivo ona Mohamed amekuja na Tangazo kuwa Barbara kapoteza iPhones mbili Taifa siku ya Simba day kwanza nilihisi kuwa ni usanii wa kutafutiwa followers wengi kwenye social media mana ni Mo mwenyewe ndio ali announce na kumquote bidada sasa nilivo ona tu Mo kamtangaza nkajua tayari huyu anandaliwa postion kubwa sana Simba mana amekuwa assistance wa Mo na ana lead iyo foundation ya Mo, Kwa kweli simba waangalie sana huyu Mhindi ata wa drag to the grave akiona wako hoi atawatema, Mtu sio Majority shareholder ila ana influence kubwa ivi kwa nini, Mo adhibitiwe na Ajue simba sio mali yake mambo yakuleta ukoo wake ndani ya simba hatutaki ni soon mtamsikia na Fatema Dewji kapewa cheo apo simba haswa upande wa Marketing its a big shame.
 
😁😁😁😁😁 kigwa kashika pabaya,itakua la tatu

Hapa najiuliza mbona sioni manara akijibu au ndo kusema haelewi kinachoendelea?

#Barbarafc
#secretaryakipandacheoanakuaCEO
Hivi hili ndo lilikuwa goli la tatu rafiki ee?

Mana nasikia mpaka sasa Kigwa na magoli manne huku chori chorri ana moja. 🤣🤣🤣🤣

#Barbara Fc.
 
Akikujibu nitag
hata akiwapa watoto zake na wake zake ivyo vyeo kama timu inapata mafanikio kuna ubaya gani???kati ya kipindi ambacho alikwepo na kipindi ambacho hakwepo ni kipindi kipi ambacho simba imepata mafanikio...???ipi ni shida kwako haswa.. mbona izo timu ambazo haziendeshwi kiundugu unaousema wewe hazina mafanikio yoyote???
 
Very professional in handling MO's affairs, remember she was MO personal secretary (assistant)
Kivip na amaefanya yep? mpaka uje hapa na hilo neno eti she is very professional bila wasifu wake tutaona naye ni muhamasishaji tu kama Manara
 
Kama timu itaendelea kufanya vizuri hakuna tatizo
Hii ni pisi ya Mwamedi na ndiyo aliyemfitinisha Mwamedi na Senzo.

In short hapo Mwamedi ana nafasi mbili za uongozi ndani ya Simba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom