Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

CV inajieleza hongera Barbara.
 
Mchepuko wa mudy huo, umehongwa timu tayari
 
Sasa ukweli umedhihirika! Kuna shabiki mmoja wa mbumbumbu fc aliwahi kutoa angalizo humu ya kwamba mdhamini mkuu anashikiliwa masikio na huyo bidada!!

Na alimtabiria pia kupewa hiyo nafasi siku za usoni! Sasa yametimia. Muda si mrefu mbumbumbu fc wataanza tu kutibuana. Hasa kwa wale watakao shindwa kumtii bosi mpya kwa namna yoyote ile.
 

Mkuu yani umeshindwa hata Kugoogle ukajua tofauti ya CEO na Sporting Director? Really?
Kumbe wewe ni sawa na wale Mashabiki wa Manchester United wanaosema Ed Woodwards hajui mpira.

Kuna uhusiano gani wa CEO na mpira?

CEO yupo kibiashara tu kukuza Brand na Income ya Timu/Kampuni/Taasisi. Wala hahitajiki kujua mpira kwani anaweza kuajiriwa kwenye Taasisi ya aina yoyote iwe ya mpira au isiyokuwa mpira. Wala hahusiki na kukuza Performance ya Timu uwanjani.

Sporting Director ndiyo kazi yake kubwa ni kuinua performance ya Timu na kuleta mafanikio ya uwanjani, Hivyo ni Muhimu kuujua mpira hata wa kusoma Darasani iwapo hakuwahi kucheza. Huyu hahusiki na kuiingizia Timu mapato.

- Sporting Director: Timi inaweza kuingiza Mkwanja na Faida ya kitosha kwenye mapato yake! Lakini kama uwanjani inaboronga basi ataishia kufukuzwa.

- CEO: Timu inaweza kuboronga uwanjani mpaka ikashuka daraja, Lakini kama imekuwa kibiashara na kudouble Faida basi huyu atabakia na kuongezewa mkataba mnono.
 
Hii ni pisi ya Mo, kuna uzi ulishaletwa kitambo humu kuhusu huyu dada.
 
Asee umeandika vizuri sn .....unajua Kwa ukweli sisi Kama Wa-Tanzania tunauelewa mdogo sn katika mambo mengi sn ....huyu msichana kama ndio CEO wa simba anaweza kufanya makubwa kuliko wanavyo fikiria kwanza angalia CV yake tu ndio utajua pia angalia shule na vyuo alivyo soma utajua kama ametoka ktk wealth family.
 
👉Nilipolisikia Hilo Jina Nikamkumbuka Kule YALI ya Rais Obama.
👉Sikuijua CV yake but then nikafahamu amesoma LSE na vyuo vyengine Credible duniani.

Nikachekaaaaa yaani Hawa WATANI mikia wanaletewa mtu bila ya TENDA KUTANGAZWA na watu Kufanya INTERVIEW😂😂.....

Hayaa TAJIRI kaamua Mana walikuwa wanatucheka Sana kipindi kile tukiwa na DIWANI WA MBAGALA KUU😂😂.

Kwako Haji Manara>Your New CEO is classy sa we mletee USHUBWADA wa TANDALE KWA MKUNDUGE...
 
[/QUOTE]
Hii ni pisi ya Mo, kuna uzi ulishaletwa kitambo humu kuhusu huyu dada.
Ndiyo maana ameamua kumpa ulaji kila kona hata asipositahili. Ataisoma namba mashabiki tukichachamaa pindi timu itakapokuwa inafanya vibaya. Kuna vitu vinafikirisha, kwa nini viongozi walio upande wa mashabiki kila siku wanatenguliwa na kuwekwa awapendao tu?, tujipe muda kumuondoa Mwamed huko mbeleni maana amezidi ujanja ujanja hata zile 20B ni zaidi ya miaka mitatu kila siku chenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…