fareed623
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 218
- 229
𝚔𝚊𝚝𝚒 𝚢𝚊 𝚖𝚘𝚘 𝚖𝚠𝚎𝚗𝚢𝚎 49% 𝚗𝚊 𝚜𝚒𝚖𝚋𝚊 𝚖𝚠𝚎𝚗𝚢𝚎 51% 𝚗𝚒 𝚗𝚊𝚗𝚒 𝚔𝚊𝚝𝚒 𝚢𝚊𝚘 𝚊𝚗𝚊𝚝𝚊𝚔𝚒𝚠𝚊 𝚊𝚔𝚊𝚖𝚒𝚕𝚒𝚜𝚑𝚎 𝚖𝚌𝚑𝚊𝚔𝚊𝚝𝚘 𝚖𝚣𝚒𝚖𝚊 𝚠𝚊 𝚖𝚊𝚋𝚊𝚍𝚒𝚛𝚒𝚔𝚘.Namuheshimu sana Mo naiheshimu sana Body ya wakurugenzi wa klabu ya simba.
Nasikitika simba bado kuna Uswahili wa kutosha,kweli ukatuletee mtu asie na elimu ya management/utawala wala hata kuujua mpira.
Huu ni mtego mkubwa sana ndani ya Klabu, amewekwa kwa ajiliya bilion 20????
Tuendelee kutafakari.#