Hahahahaha.
Mo kajenga viwanja viwili vya mpira.
Anasajiri wachezaji
Analipa mishahara ya wachezaji na viongozi wa Simba.
Analipa ghalama zote zingine.
Anafadhiri Simba Qeens
Anafadhiri Simba vijana na kuwaendeleza akina Kipenye na Rashidi Juma nk.
Sisi Simba tunamhitaji MO
Ajiweke mwenyewe, amweke Hawala yake au mtoto wake, sisi haituhusu.
Hivi bila MO si tutapigwa goli 20 Bila na Utopolo, ndio mnataka hivyo.
Yanga sio wajinga Kumbeba GSM kwenye Machela kama Watumwa.
Wameitwa Nyani, Mbwa, Utopolo, Vyula nk.
Mnafikiri ni mazuri hayo.
Wamekosa Kombe la Ligi miaka minne.
Kazi yenu kushangilia tu, Chama, Morrisoni, Kahata. Mnafikiri wamekuja Bure hapo.
Tulieni Dawa iwaingie.
Mnathubutu hata kuhoji maamuzi ya Management halali ya Simba.
Hata Yanga kamwe hawawezi kuziponda Juhudi za MO.
Nyinyi ni timu Mzee Kilomoni.
Sent from my MI MAX 2 using
JamiiForums mobile app