Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

hata akiwapa watoto zake na wake zake ivyo vyeo kama timu inapata mafanikio kuna ubaya gani???kati ya kipindi ambacho alikwepo na kipindi ambacho hakwepo ni kipindi kipi ambacho simba imepata mafanikio...???ipi ni shida kwako haswa.. mbona izo timu ambazo haziendeshwi kiundugu unaousema wewe hazina mafanikio yoyote???
Mkuu, huyo jamaa ni Utopolo wala usihangaike nae.
 
Labda ungeanza na majukumu ya CEO wa Simba SC Co Ltd, halafu tuone kama uanamichezo ni moja ya majukumu yake. Kumbuka Senzo alikasirika baada ya kuitwa kwenye board na kuulizwa masuala ya fedha (aliulizwa amepunguza vipi gharama za kampuni), sio ya michezo, akatimka
MUDA UTAAMUA
 
Mkuu yani umeshindwa hata Kugoogle ukajua tofauti ya CEO na Sporting Director? Really?
Kumbe wewe ni sawa na wale Mashabiki wa Manchester United wanaosema Ed Woodwards hajui mpira.

Kuna uhusiano gani wa CEO na mpira?

CEO yupo kibiashara tu kukuza Brand na Income ya Timu/Kampuni/Taasisi. Wala hahitajiki kujua mpira kwani anaweza kuajiriwa kwenye Taasisi ya aina yoyote iwe ya mpira au isiyokuwa mpira. Wala hahusiki na kukuza Performance ya Timu uwanjani.

Sporting Director ndiyo kazi yake kubwa ni kuinua performance ya Timu na kuleta mafanikio ya uwanjani, Hivyo ni Muhimu kuujua mpira hata wa kusoma Darasani iwapo hakuwahi kucheza. Huyu hahusiki na kuiingizia Timu mapato.

- Sporting Director: Timi inaweza kuingiza Mkwanja na Faida ya kitosha kwenye mapato yake! Lakini kama uwanjani inaboronga basi ataishia kufukuzwa.

- CEO: Timu inaweza kuboronga uwanjani mpaka ikashuka daraja, Lakini kama imekuwa kibiashara na kudouble Faida basi huyu atabakia na kuongezewa mkataba mnono.
SHUKRANI KWA SHULE HII BILA ADA
 
Nimesoma CV ya huyo CEO mpya wa Simba sc, kwa kweli hapo tumepigwa 3 bila wana Simba wenzangu. Huyo mtu sio mwanamichezo wala hajawahi fanya kazi yoyote ya kimichezo. Mwamed ametuzidi maarifa sisi wenye hisa hewa 51%.

PIA WAWEZA SOMA HAPA CHINI KUONGEZEA TAARIFA ZA HUYO MREMBO

View attachment 1559522
Barbara Gonzalez
CEO,

MO DEWJI FOUNDATION
Barbara Gonzalez is the head of the Mo Dewji Foundation, a registered charity founded by Africa’s youngest billionaire, Mohammed Dewji. The foundation is dedicated to enriching the lives and alleviating Tanzanian citizens from poverty and hardship through health, education and community development. She is responsible for developing strategies to address some of the world’s most challenging inequities and leading all the foundation’s efforts to promote equity and sustainable livelihoods for all Tanzanians.
Gonzalez serves on the advisory board for Young African Leaders Initiative (YALI) Regional Leadership Center East Africa. YALI was launched by former President of the United States Barack Obama as a signature effort to invest in the next generation of African leaders.
Prior to the foundation, Gonzalez was consultant at Deloitte Consulting Limited Tanzania. She was involved in projects for public sector clients including USAID, UNICEF, World Bank and Plan International.
Gonzalez holds a master’s degree in development management from the London School of Economics and Political Science, and a bachelor’s degree with honors in economics and political science from Manhattanville College in Purchase, New York.
watu mnakuwa wajinga. mpaka muhasibu mtahitaji awe mwanamichezo
 
Sasa ukweli umedhihirika! Kuna shabiki mmoja wa mbumbumbu fc aliwahi kutoa angalizo humu ya kwamba mdhamini mkuu anashikiliwa masikio na huyo bidada!!

Na alimtabiria pia kupewa hiyo nafasi siku za usoni! Sasa yametimia. Muda si mrefu mbumbumbu fc wataanza tu kutibuana. Hasa kwa wale watakao shindwa kumtii bosi mpya kwa namna yoyote ile.
If wishes were horses beggars would ride on them.Keep dreaming. Manyani kila siku wamekuwa doom sayers. Kila siku kuishi kwa uzushi na husda.
Mpira unachezwa uwanjani .
 
Mkuu yani umeshindwa hata Kugoogle ukajua tofauti ya CEO na Sporting Director? Really?
Kumbe wewe ni sawa na wale Mashabiki wa Manchester United wanaosema Ed Woodwards hajui mpira.

Kuna uhusiano gani wa CEO na mpira?

CEO yupo kibiashara tu kukuza Brand na Income ya Timu/Kampuni/Taasisi. Wala hahitajiki kujua mpira kwani anaweza kuajiriwa kwenye Taasisi ya aina yoyote iwe ya mpira au isiyokuwa mpira. Wala hahusiki na kukuza Performance ya Timu uwanjani.

Sporting Director ndiyo kazi yake kubwa ni kuinua performance ya Timu na kuleta mafanikio ya uwanjani, Hivyo ni Muhimu kuujua mpira hata wa kusoma Darasani iwapo hakuwahi kucheza. Huyu hahusiki na kuiingizia Timu mapato.

- Sporting Director: Timi inaweza kuingiza Mkwanja na Faida ya kitosha kwenye mapato yake! Lakini kama uwanjani inaboronga basi ataishia kufukuzwa.

- CEO: Timu inaweza kuboronga uwanjani mpaka ikashuka daraja, Lakini kama imekuwa kibiashara na kudouble Faida basi huyu atabakia na kuongezewa mkataba mnono.
Nchi imejaa wajinga wengi sana kibaya zaidi hawajui kuwa hawajui kitu.

Kazi yao kubwa ni kupiga majungu tu na kuzalisha michepuko.

Mtu kuwa CEO kwenye football Club siyo lazima awe mtu wa mpira.

Kwani Saad Kawemba wakati anakuwa CEO wa AZAM alikuwa ana historia ya kuongoza football club popote ?

Au Popat wa sasa pale AZAM ana historia ya kuongoza football club yoyote ?

CEO kazi yake kubwa ni corporate management of the club simba waende mbali zaidi wateue na Sporting Director tena Walete Mzungu kuajiri mswahili ni kusogeza wapiga majungu tu.

Unaweza ukamwajiri leo kesho anaanza rumours kuwa unatafuna wafanya usafi wa club.
 
Ndiyo maana ameamua kumpa ulaji kila kona hata asipositahili. Ataisoma namba mashabiki tukichachamaa pindi timu itakapokuwa inafanya vibaya. Kuna vitu vinafikirisha, kwa nini viongozi walio upande wa mashabiki kila siku wanatenguliwa na kuwekwa awapendao tu?, tujipe muda kumuondoa Mwamed huko mbeleni maana amezidi ujanja ujanja hata zile 20B ni zaidi ya miaka mitatu kila siku chenga.
Nyinyi mmeweka hata shilling tano ?
[/QUOTE]
Looh kweliii😂😂😂😂😂
 
Nyinyi mmeweka hata shilling tano ?
Looh kweliii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][/QUOTE]Jibuni basi kama mmeweka hata hiyo shilling tano ?

Siyo kulilia pesa za wenzenu wakati nyinyi hamjaweka hata mia otherwise mnafanya majungu tu kwa sababu sasa hivi hampati gate collections
 
  • Thanks
Reactions: Tui
View attachment 1559595
Menejimenti ya Klabu ya Simba kupitia kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Mohamed Dewji imemtangaza Barbara Gonzalez kama Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo

Barbara anachukua nafasi ya Senzo Masingiza aliyetangaza kujiuzulu nafasi ya Utendaji Mkuu wa Simba Simba SC na kuhamia Yanga SC

Sijawahi kukutana au kuona Mwanamke mzuri ( Mrembo ) hasa halafu tena akawa 'Kichwani' mwake Kiuweledi na Kitasnia akawa ni Mtupu kabisa.
 
Mimi nimehama simba kwa ajili ya ujinga wa huyu Mohamed mtu kwanza anaendesha Project za Familia leo ndio anakuwa most influencer katika Club hizo pesa anazodai anatoa ni kuwa nae anafanya matangazo kupitia simba, nilivo ona Mohamed amekuja na Tangazo kuwa Barbara kapoteza iPhones mbili Taifa siku ya Simba day kwanza nilihisi kuwa ni usanii wa kutafutiwa followers wengi kwenye social media mana ni Mo mwenyewe ndio ali announce na kumquote bidada sasa nilivo ona tu Mo kamtangaza nkajua tayari huyu anandaliwa postion kubwa sana Simba mana amekuwa assistance wa Mo na ana lead iyo foundation ya Mo, Kwa kweli simba waangalie sana huyu Mhindi ata wa drag to the grave akiona wako hoi atawatema, Mtu sio Majority shareholder ila ana influence kubwa ivi kwa nini, Mo adhibitiwe na Ajue simba sio mali yake mambo yakuleta ukoo wake ndani ya simba hatutaki ni soon mtamsikia na Fatema Dewji kapewa cheo apo simba haswa upande wa Marketing its a big shame.
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]𝚔𝚊𝚝𝚒𝚔𝚊 𝚞𝚋𝚘𝚛𝚊 𝚠𝚊𝚔𝚘,𝚎𝚝𝚒 𝚗𝚒𝚖𝚎𝚊𝚖𝚊 𝚜𝚒𝚖𝚋𝚊[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu yani umeshindwa hata Kugoogle ukajua tofauti ya CEO na Sporting Director? Really?
Kumbe wewe ni sawa na wale Mashabiki wa Manchester United wanaosema Ed Woodwards hajui mpira.

Kuna uhusiano gani wa CEO na mpira?

CEO yupo kibiashara tu kukuza Brand na Income ya Timu/Kampuni/Taasisi. Wala hahitajiki kujua mpira kwani anaweza kuajiriwa kwenye Taasisi ya aina yoyote iwe ya mpira au isiyokuwa mpira. Wala hahusiki na kukuza Performance ya Timu uwanjani.

Sporting Director ndiyo kazi yake kubwa ni kuinua performance ya Timu na kuleta mafanikio ya uwanjani, Hivyo ni Muhimu kuujua mpira hata wa kusoma Darasani iwapo hakuwahi kucheza. Huyu hahusiki na kuiingizia Timu mapato.

- Sporting Director: Timi inaweza kuingiza Mkwanja na Faida ya kitosha kwenye mapato yake! Lakini kama uwanjani inaboronga basi ataishia kufukuzwa.

- CEO: Timu inaweza kuboronga uwanjani mpaka ikashuka daraja, Lakini kama imekuwa kibiashara na kudouble Faida basi huyu atabakia na kuongezewa mkataba mnono.
𝙼𝚞𝚞𝚕𝚒𝚣𝚎 𝚊𝚜𝚎𝚛𝚗𝚊𝚕 𝚒𝚖𝚎𝚌𝚑𝚞𝚔𝚞𝚊 𝚕𝚒𝚗𝚒 𝚔𝚘𝚖𝚋𝚎 𝚕𝚊 𝚎𝚙𝚕? 𝙱𝚞𝚝 𝚔𝚒 𝚏𝚒𝚗𝚊𝚗𝚌𝚒𝚊𝚕 𝚠𝚊𝚙𝚘 𝚟𝚣𝚛
 
Nchi imejaa wajinga wengi sana kibaya zaidi hawajui kuwa hawajui kitu.

Kazi yao kubwa ni kupiga majungu tu na kuzalisha michepuko.

Mtu kuwa CEO kwenye football Club siyo lazima awe mtu wa mpira.

Kwani Saad Kawemba wakati anakuwa CEO wa AZAM alikuwa ana historia ya kuongoza football club popote ?

Au Popat wa sasa pale AZAM ana historia ya kuongoza football club yoyote ?

CEO kazi yake kubwa ni corporate management of the club simba waende mbali zaidi wateue na Sporting Director tena Walete Mzungu kuajiri mswahili ni kusogeza wapiga majungu tu.

Unaweza ukamwajiri leo kesho anaanza rumours kuwa unatafuna wafanya usafi wa club.
𝚆𝚊𝚜𝚒𝚔𝚞𝚜𝚞𝚖𝚋𝚞𝚎 𝚔𝚒𝚌𝚑𝚠𝚊 𝚠𝚊𝚘 𝚗𝚒 𝚞𝚝𝚘𝚙𝚘𝚕𝚘 𝚔𝚊𝚝𝚒𝚔𝚊 𝚞𝚋𝚘𝚛𝚊 𝚠𝚊𝚘, 𝚠𝚊𝚞𝚕𝚒𝚣𝚎 𝚑𝚞𝚢𝚘 𝚜𝚎𝚗𝚣𝚘 𝚠𝚊𝚕𝚒𝚘𝚖𝚌𝚑𝚞𝚔𝚞𝚊 𝚠𝚊𝚕𝚒𝚝𝚊𝚗𝚐𝚊𝚣𝚊 𝚠𝚊𝚙𝚒 𝚊𝚓𝚒𝚛𝚊 𝚢𝚊𝚔𝚎?
 
Namuheshimu sana Mo naiheshimu sana Body ya wakurugenzi wa klabu ya simba.

Nasikitika simba bado kuna Uswahili wa kutosha,kweli ukatuletee mtu asie na elimu ya management/utawala wala hata kuujua mpira.

Huu ni mtego mkubwa sana ndani ya Klabu, amewekwa kwa ajiliya bilion 20????

Tuendelee kutafakari.#
 
Ndiyo maana ameamua kumpa ulaji kila kona hata asipositahili. Ataisoma namba mashabiki tukichachamaa pindi timu itakapokuwa inafanya vibaya. Kuna vitu vinafikirisha, kwa nini viongozi walio upande wa mashabiki kila siku wanatenguliwa na kuwekwa awapendao tu?, tujipe muda kumuondoa Mwamed huko mbeleni maana amezidi ujanja ujanja hata zile 20B ni zaidi ya miaka mitatu kila siku chenga.[/QUOTE][emoji1787][emoji1787][emoji1787]𝚎𝚝𝚒 𝚣𝚊𝚒𝚍 𝚢𝚊 𝚖𝚒𝚊𝚔𝚊 𝚖𝚒𝚝𝚊𝚝𝚞, 𝚠𝚊𝚔𝚊𝚝𝚒 𝚖𝚠𝚎𝚣𝚒 𝚞𝚕𝚒𝚙𝚒𝚝𝚊 𝚔𝚊𝚏𝚒𝚔𝚒𝚜𝚑𝚊 𝚖𝚒𝚊𝚔𝚊 𝚖𝚒𝚠𝚒𝚕𝚒 𝚗𝚍𝚒𝚘 𝚊𝚗𝚊𝚎𝚗𝚍𝚊 𝚠𝚊𝚝𝚊𝚝𝚞, 𝚓𝚎 𝚖𝚌𝚑𝚊𝚔𝚊𝚝𝚘 𝚠𝚊 𝚖𝚊𝚋𝚊𝚍𝚒𝚕𝚒𝚔𝚘 𝚠𝚊 𝚢𝚊𝚗𝚐𝚊 𝚞𝚗𝚊𝚌𝚑𝚞𝚔𝚞𝚊 𝚖𝚍 𝚐𝚊𝚗𝚒?
 
Back
Top Bottom