fareed623
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 218
- 229
Kijana kunywa maji moyo utulie, punguza makasirikoKivip na amaefanya yep? mpaka uje hapa na hilo neno eti she is very professional bila wasifu wake tutaona naye ni muhamasishaji tu kama Manara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana kunywa maji moyo utulie, punguza makasirikoKivip na amaefanya yep? mpaka uje hapa na hilo neno eti she is very professional bila wasifu wake tutaona naye ni muhamasishaji tu kama Manara
PoleSasa ukweli umedhihirika! Kuna shabiki mmoja wa mbumbumbu fc aliwahi kutoa angalizo humu ya kwamba mdhamini mkuu anashikiliwa masikio na huyo bidada!!
Na alimtabiria pia kupewa hiyo nafasi siku za usoni! Sasa yametimia. Muda si mrefu mbumbumbu fc wataanza tu kutibuana. Hasa kwa wale watakao shindwa kumtii bosi mpya kwa namna yoyote ile.
Ni nani huyu? Katokea wapi? Angalau Senzo tulikua tunajua back ground yake kuhusiana na utaalam wake wa kuendesha vilabu vya soka Afrika. Natamani viongozi wa Simba wangetulia na kufanya kazi bila mihemuko ya kutaka kulipa kisasiShe is very proffesional ...kongole kwa Simba, vyura endeleeni kubwabwaja bwawani
Kuna mwanzo katika kila Jambo, afterall we are talking about simba na sio Barcelona au Man City.Ni nani huyu? Katokea wapi? Angalau Senzo tulikua tunajua back ground yake kuhusiana na utaalam wake wa kuendesha vilabu vya soka Afrika. Natamani viongozi wa Simba wangetulia na kufanya kazi bila mihemuko ya kutaka kulipa kisasi
Umenena mkuu.hata akiwapa watoto zake na wake zake ivyo vyeo kama timu inapata mafanikio kuna ubaya gani???kati ya kipindi ambacho alikwepo na kipindi ambacho hakwepo ni kipindi kipi ambacho simba imepata mafanikio...???ipi ni shida kwako haswa.. mbona izo timu ambazo haziendeshwi kiundugu unaousema wewe hazina mafanikio yoyote???
Subiri ligi ianze na njaa yenu pale jangwani itatamalaki.
Ana ntafuna huyo [emoji12][emoji108][emoji23]Demu wake mo nini
Acheni majungu.Ana ntafuna huyo [emoji12][emoji108][emoji23]
Kwani wapo wangapi?MO ashaanza kutuona sisi wapuuzi enh... anataka ajaze wahindi wenzie kilabuni?
Ungekuwa unafuatilia kuhusu Simba ungejua Barbara Gonzalez amekuwa mjumbe wa bodi kwa miaka 2 sasa. Hajaibuka kama uyoga.Ni nani huyu? Katokea wapi? Angalau Senzo tulikua tunajua back ground yake kuhusiana na utaalam wake wa kuendesha vilabu vya soka Afrika. Natamani viongozi wa Simba wangetulia na kufanya kazi bila mihemuko ya kutaka kulipa kisasi
View attachment 1559595
Menejimenti ya Klabu ya Simba kupitia kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Mohamed Dewji imemtangaza Barbara Gonzalez kama Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo
Barbara anachukua nafasi ya Senzo Masingiza aliyetangaza kujiuzulu nafasi ya Utendaji Mkuu wa Simba Simba SC na kuhamia Yanga SC
Kwa hiyo wewe hivyo vyuo ndio vimekuchanganya paka kudharau waTZ kwamba wanauelewa mdogo?Asee umeandika vizuri sn .....unajua Kwa ukweli sisi Kama Wa-Tanzania tunauelewa mdogo sn katika mambo mengi sn ....huyu msichana kama ndio CEO wa simba anaweza kufanya makubwa kuliko wanavyo fikiria kwanza angalia CV yake tu ndio utajua pia angalia shule na vyuo alivyo soma utajua kama ametoka ktk wealth family.
Umesomeka sana mkuu.Mkuu yani umeshindwa hata Kugoogle ukajua tofauti ya CEO na Sporting Director? Really?
Kumbe wewe ni sawa na wale Mashabiki wa Manchester United wanaosema Ed Woodwards hajui mpira.
Kuna uhusiano gani wa CEO na mpira?
CEO yupo kibiashara tu kukuza Brand na Income ya Timu/Kampuni/Taasisi. Wala hahitajiki kujua mpira kwani anaweza kuajiriwa kwenye Taasisi ya aina yoyote iwe ya mpira au isiyokuwa mpira. Wala hahusiki na kukuza Performance ya Timu uwanjani.
Sporting Director ndiyo kazi yake kubwa ni kuinua performance ya Timu na kuleta mafanikio ya uwanjani, Hivyo ni Muhimu kuujua mpira hata wa kusoma Darasani iwapo hakuwahi kucheza. Huyu hahusiki na kuiingizia Timu mapato.
- Sporting Director: Timi inaweza kuingiza Mkwanja na Faida ya kitosha kwenye mapato yake! Lakini kama uwanjani inaboronga basi ataishia kufukuzwa.
- CEO: Timu inaweza kuboronga uwanjani mpaka ikashuka daraja, Lakini kama imekuwa kibiashara na kudouble Faida basi huyu atabakia na kuongezewa mkataba mnono.
Si uandike tu Kiswahili, umeharibu lugha ya kwa MalikiaShe is very proffesional ...kongole kwa Simba, vyura endeleeni kubwabwaja bwawani
Yanga tulikataa kukodishwa kama "sufuria", Simba wamekubali timu iwe bidhaa ya kuhongana kama mkufu!