Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

Ulivyoongea utadhani mkopo ni msaada. Unajua vitu vikubwa vingi kwenye soka ila vidogo vidogo kama hivi vinakupiga chenga![emoji16]

Sasa kama Mkopo si Msaada yanini anune anapokoseshwa?
Ni miaka mitatu imeshapita hajahoji 20B, lakini baada ya kunyimwa Mkopo wa Bodaboda za kwenda kutoa kwenye Kampeni mwishowake akaishia kitoa Baiskeli ndiyo kaamua kununa na kuhoji 20B.
 
Kuhusu uwekezaji mnamuonea bure MO. Hivi nani anaweza kuweka pesa zake kununua kampuni bila upembuzi yakinifu kufanyika. Simba hata Audit report ilikuwa haina, lazima kila kitu kiwe clear ikiwemo wadeni, wadaiwa, mali za club na uhalali wake zihakikishwe. Si mambo marahisi kwa club iliyoanzishwa toka mwaka 1936 ikiendeshwa un professional. Tutoe nafasi hiyo kazi ikamilike na tayari muwekezaji kasema ipo final stage. Wana Simba tusiruhusu kuvurugwa kipindi hiki.
Miaka 2?? Unafanya upembuzi hivi wenzangu mnaendeshaje familia zenu akili fupi kiasi hiki?
 
Ila hii pisi ni kali 😍
Kweli mkuu
FB_IMG_15993642381160147.jpg
 
Kwahiyo sababu ya Senzo kuondoka sio Morrison tena ni hii pisi [emoji3][emoji3], wabongo tuache ujuaji ambao hauna tija.
Huyu dem ndo aliyesababisha Senzo kaondoka pia inasemekana lakini ni chakula ya MO!.
 
That's right mkuu, hizi timu za Simba na Yanga zina wajuaji wengi sana. Yaani uweke bil 20 kiholela pasipokuwa na utaratibu mzuri wa kusimamia hizo pesa utapigwa mchana kweupeee. Lazima uwe na watu professional wa kusimamia hizo fedha Mo achokifanya ni sahihi.

Hao utopolo wenyewe na Gsm wana makubaliano gani mbona wameshupalia ya Simba tu? Kikubwa kuna watu Simba inawanyima usingizi ndio maana chokochoko zimekuwa nyingi.
Kuhusu uwekezaji mnamuonea bure MO. Hivi nani anaweza kuweka pesa zake kununua kampuni bila upembuzi yakinifu kufanyika. Simba hata Audit report ilikuwa haina, lazima kila kitu kiwe clear ikiwemo wadeni, wadaiwa, mali za club na uhalali wake zihakikishwe. Si mambo marahisi kwa club iliyoanzishwa toka mwaka 1936 ikiendeshwa un professional. Tutoe nafasi hiyo kazi ikamilike na tayari muwekezaji kasema ipo final stage. Wana Simba tusiruhusu kuvurugwa kipindi hiki.
 
Kwani wapo wangapi?
Au ni Utopolo in disguise. Kule hata wasimamia kambi ni wasomali na waarabu koko.
Utopolo nani amtoe dada ake kwenye club asiifanye club ya baba ake
 
Mhindi kawalisha limbwata la pilipili. Kigwa japo ana madhaifu yake ila alikua na hoja nzito alitakiwa kujibiwa pale pale sio kukumbushwa mikopo ya pikipiki
Wanalo rafiki Muhindi si mtu wa mchezo aisee mana mwisho wa siku anawanunua kirahisi. 😂😂

Halafu sijui Mo kawalisha nini mana Kigwangwala anahoji cha ajabu mikia wote wamemjia juu.
 
Yanga wanajisahaulisha matatizo yao kupitia mambo ya simba..
Wao hata mishahara ya wachezaji inawashinda.
Na sasa hivi wana mpango wa kuleta "BAKULI KUBWA KULIKO".
"ILI WAJENGE UWANJA KIGAMBONI "[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Wakati gsm waliahidi kujengaa huo uwanja.
SASA SIJUI IMEKUWAJE.
lakini wanajifanya yao hawayaoni
Ukipewa wewe uindeshe kiproffesional utaweza kuwalipa Wachezaji japo mshahara wa mwezi??? Au hata kuwalisha kwa siki mojaa tuu... Achaa kuleta siasaa kwenye mambo yanayoitaji fedha mkuu ndo yale ya kigwanwalaa kupigaa kelele tu..

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Mpaka mnyooke si mnajifanya mna macho lakini hamuoni yaani mkija kushituka timu imebadilishwa na jina inaitwa Mo Football Club. 😂😂😂
Tutatembeza bakora ujinga ukiendelea. Kwa sasa tutaangalia kwanza je ushindi kiwanjani utapatikana? Kinyume cha hapo tutalianzisha🤪
 
Mhindi kawalisha limbwata la pilipili. Kigwa japo ana madhaifu yake ila alikua na hoja nzito alitakiwa kujibiwa pale pale sio kukumbushwa mikopo ya pikipiki
Mjanja sana yule Muhindi na kajua kucheza na akili za mikia kwa kujua dhahiri akizungumzia habari za pikipiki basi Mashabiki wote watamwona Kigwangwala ana chuki binafsi naye. 😅😂😂

Eti wakikaa wanamlaumu Kigwa kwa nini hajamwambia Mo nje ya pale twitter wanasahau kwamba Muhindi naye kaleta habari za pikipiki huko huko twitter.
 
Back
Top Bottom