Watanzania na hasa mashabiki wa mpira watambue kwamba mabadiliko ya kiungozi ndani ya vilabu yanaenda sambamba na mabadiliko ya kibiashara....
Simba ipo na yanga itakuepo bila kujali nani anakuja na nani anaondoka as long as mchezaji amelipa deni na anauzwa kwa faida muachieni aende..... Sio Chama wala Konde wangefia simba hasa kwa viwango vyao...
Swali ni je hii mikataba mipya inawanufaisha vip simba??
Mfano.
Mchezaji akisaidia timu yake mpya kutwa ubingwa say wa CAF CHAMPIONISHIP simba itanufaika vipi???
Mchezaji akiuzwa na hiyo timu mpya simba itafaidika vip na mauzo hayo hapo baadae??
Kama atakua mfungaji bora wa ligi husika au kufikisha magoli kadhaa kwa msimu simba atanufaika vip??
well said wabongo bado tunaishabiki wa kijima... kinachosikitisha hawa waandishi wetu ambao hawajui kuwa kwa nafas zao ndo walipaswa kuwa walimu wa kuwaelewesha watu nini maana ya kuwa professional player AU professional league au professional club..
yaan haya yanayotokea sasa hv ni matokeo ya mafanikio ya club zetu .. sasa mnataka kwenda kwenye level za wenzetu hamtak kuuza ..
cha ajabu wachezaj wanzur wa gharama nje pia mnasema Bongo hatuna jeur ya kununua mchezaj wa 1B.. sasa hamna jeur ya kununua ila bado mna jeur hamtak hiyo 1B akili za wapz.. kwa hiyonhawa wachezaj watafaidishaje club au wao na familia zao..
hv wanafikiri club kuwa kubwa kifedha hizo pesa zinatoka mbinguni.. au zinakuja kwa kubeba ubingwa tu..
bingwa wa CAF anapata less than 4b.. sasa jiykize Aly Ahal katumia shilingi ngap kwenye msimu wa mashindano..
zaid ya asilimia hamsini ya mafanikio ya club kifedha yako nje ya uwanja.. pale uwanjan ni kujitangaza..
maana yake club ikifanya vizur uwanjan.. basi zitakuja deal za udhamin na zitakuja deal na kutaka asset zako..
lakin wabongo bado akiuzwa mchezaj oh hamko seriuos.. club zingekuwa haziko serious hata hao wachezaj mnaowapigia kelele msingewaona..
hivi kuna anaejua Simba au yanga wanaingia gharama kias gan kuhakikisha hao wachezaj wanakuwa na hali nzur ili waperfom..
faida ya mchezaj mzur kwa club iko 50% ndan ya uwanja na 50% nje ya uwanja ..
maana yake akiperfom uwanjan na bado mkashindwa kupata kombe basi mnaweza mkamuuza kwa pesa nzuri,
mkaboresha mara mbili ya pale..
na bado hapo kila siku inayoenda kwa Mungu haikupi guarantee ya huyo mchezaji kesho ataamkaje au atapata majanga gani..
angalia yule mchezaj wa polisi alieumia miguu kwenye Ajali.. maisha yake ya soka yatakuwaje.. halafu bado mnataka kubania wachezaj wakipata nafasi za kubiresha maisha..
mchezaj mtaj wake ni mwili wake na bahat mbaya hana uwezo. wa kuthibitisha kuwa atakuwa 100% fit hata kwa masaa 24 tu yajayo.
WABONGO TUBADILIKE NA USHABIKI MAANDAZ