FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,882
- 5,087
Ni kama bado naona timu hizi za Simba na Yanga zenye utajiri wa Mashabiki zikazane kubuni mbinu mbalimbali kujiongezea mapato.
Kwa mfano vipi kama wataingia makubaliano na Kampuni za Bia na Soda kukawa na sehemu ya vinywaji vikawa na nembo au picha ya Mchezaji aliyefurahisha Mashabiki kwa wakati huo?.Kwa mfano vinywaji hivi vikaongezwa sh mia mbili au mia tatu zitakazoenda kwenye klabu.Nina uhakika kabisa pale ambapo timu imeshinda Vinywaji vya timu husika vitauzika sana.
Au kama siku Mchezaji fulani amekiwasha basi kesho yake jina au picha yake iwepo kwenye kizibo au lebo.Bila shaka kutakuwa na mauzo.
Nawasilisha.