Simba yangu isikilize kwa makini

Simba yangu isikilize kwa makini

Shida Siyo mashabiki, imagine kila watanzania 9 kati ya 10 ni mashabiki wa Simba au Yanga. Hawa ni kuanzia vibosile, matajiri,walalahoi,mawaziri,wanasiasa,viongozi wa dini n.k kwahiyo unapochukua kundi moja liwakilishe makundi yote ya mashabiki nitakukutalia.

Kabla hujasema shida ni mashabiki angalia kwanza uelewa wako na jinsi ipi ya kuwatofautisha.
Hujaelewa nachomaanisha
Simba ilikua na nafasi ya kuuondoa huu uongozi mnaoulalamikia sasa kwenye uchaguzi lakini mkafika pale mkapigwa propaganda na manzoki mkaurudisha tena madarakani uongozi uleule mlokua mnaulalamikia.
 
Hujaelewa nachomaanisha
Simba ilikua na nafasi ya kuuondoa huu uongozi mnaoulalamikia sasa kwenye uchaguzi lakini mkafika pale mkapigwa propaganda na manzoki mkaurudisha tena madarakani uongozi uleule mlokua mnaulalamikia.
Acha tu mkuu ni kama chama pendwa CCM tunakilalamikia lakini uchaguzi ukija wanarudi tena
 
Acha tu mkuu ni kama chama pendwa CCM tunakilalamikia lakini uchaguzi ukija wanarudi tena
Miaka hii ata mashabik wa mpra nao , tumekua kama wana siasa tu,, mfano simba wana kama miaka mitatu wana matatzo kuanzia eneo la nyuma kati mpaka mbele lakin cha ajabu viongozi wanajua na wanaona lkn hawafanyi jitiada ya kumalza ayo matatzo mbaya hao hao mashabiki kuna muda wanakosana mtu ukiongea matatzo ya timu unaonekana ujuhi mpra mara muachie kocha mara tusiwavuruge wachezaji mara tuaachie viongozi ,yani hakuna ule umoja kwamba kikitokea ktu kibaya tukisemee kwa pamoja na tukipinge kwa pamoja , na ivyo ivyo kikitokea kizuri wanataka ata ktk makosa tupeane moyo tu kila siku , usishangae dilisha lijalo hakina saido wakaendelea kubak,alaf wanaleta wachezaji wa kawaida wawil watatu alaf wanasema tumefanya usajil wa maana tunamalengo makubwa simba wana miaka mitatu hawajui wafanye nn ktk usajil zaid ya kubahatisha kama yanga walikubal kujifunza kwa simba uko nyuma adi wamefikia apa na wao wana nafas ya kufanya ivyo mchezaji mbaya, umr umeenda kiwango kimeshuka sio mbaya kuachana nae bajet bil kibao ,wachezaji ovyo
 
Back
Top Bottom