tony92
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,398
- 3,691
Hujaelewa nachomaanishaShida Siyo mashabiki, imagine kila watanzania 9 kati ya 10 ni mashabiki wa Simba au Yanga. Hawa ni kuanzia vibosile, matajiri,walalahoi,mawaziri,wanasiasa,viongozi wa dini n.k kwahiyo unapochukua kundi moja liwakilishe makundi yote ya mashabiki nitakukutalia.
Kabla hujasema shida ni mashabiki angalia kwanza uelewa wako na jinsi ipi ya kuwatofautisha.
Simba ilikua na nafasi ya kuuondoa huu uongozi mnaoulalamikia sasa kwenye uchaguzi lakini mkafika pale mkapigwa propaganda na manzoki mkaurudisha tena madarakani uongozi uleule mlokua mnaulalamikia.