Hujaelewa nachomaanishaShida Siyo mashabiki, imagine kila watanzania 9 kati ya 10 ni mashabiki wa Simba au Yanga. Hawa ni kuanzia vibosile, matajiri,walalahoi,mawaziri,wanasiasa,viongozi wa dini n.k kwahiyo unapochukua kundi moja liwakilishe makundi yote ya mashabiki nitakukutalia.
Kabla hujasema shida ni mashabiki angalia kwanza uelewa wako na jinsi ipi ya kuwatofautisha.
Bosi wetu naye anaichungulia hela kakaKabisaa nahisi pesa za MO zinapigwa kwenye usajili au hatuna scouting nzuri. Angalia sajili zetu linganisha na Yanga utaona utofauti
Acha tu mkuu ni kama chama pendwa CCM tunakilalamikia lakini uchaguzi ukija wanarudi tenaHujaelewa nachomaanisha
Simba ilikua na nafasi ya kuuondoa huu uongozi mnaoulalamikia sasa kwenye uchaguzi lakini mkafika pale mkapigwa propaganda na manzoki mkaurudisha tena madarakani uongozi uleule mlokua mnaulalamikia.
Hatoi hela yule ananunua bei chee na hao chee wanapiga 10%Unamaanisha nini mkuu?
Miaka hii ata mashabik wa mpra nao , tumekua kama wana siasa tu,, mfano simba wana kama miaka mitatu wana matatzo kuanzia eneo la nyuma kati mpaka mbele lakin cha ajabu viongozi wanajua na wanaona lkn hawafanyi jitiada ya kumalza ayo matatzo mbaya hao hao mashabiki kuna muda wanakosana mtu ukiongea matatzo ya timu unaonekana ujuhi mpra mara muachie kocha mara tusiwavuruge wachezaji mara tuaachie viongozi ,yani hakuna ule umoja kwamba kikitokea ktu kibaya tukisemee kwa pamoja na tukipinge kwa pamoja , na ivyo ivyo kikitokea kizuri wanataka ata ktk makosa tupeane moyo tu kila siku , usishangae dilisha lijalo hakina saido wakaendelea kubak,alaf wanaleta wachezaji wa kawaida wawil watatu alaf wanasema tumefanya usajil wa maana tunamalengo makubwa simba wana miaka mitatu hawajui wafanye nn ktk usajil zaid ya kubahatisha kama yanga walikubal kujifunza kwa simba uko nyuma adi wamefikia apa na wao wana nafas ya kufanya ivyo mchezaji mbaya, umr umeenda kiwango kimeshuka sio mbaya kuachana nae bajet bil kibao ,wachezaji ovyoAcha tu mkuu ni kama chama pendwa CCM tunakilalamikia lakini uchaguzi ukija wanarudi tena