Simba yangu isikilize kwa makini

Simba yangu isikilize kwa makini

Girland

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2016
Posts
2,489
Reaction score
4,253
Baada ya kichapo tena cha mbwa koko aliyekula mboga ya mchana kutoka kwa mahasimu wetu wa "mabonde kuinama "kwenye mafuriko. Kama mshabiki, mnazi, mkereketwa ninashauri yafuatayo:

1.TATHMINI IFANYIKE KUHUSU MWENENDO WA KLABU YETU NDANI NA NJE YA UWANJA.
Lazima wataalamu watuambie je kila mmoja kwenye uongozi anayafanya majukumu yake ipasavyo?

Je kikosi chetu kina mapungufu yapi kiufundi? Mechi ya watani ni kipimo kizuri cha kuonyesha wapi panavuja

2.USAJILI WA MAANA UFANYIKE
Hatuhitaji tena ngonjera za Mwenyekiti kupiga picha na Manzoki wala kuambiwa eti Eto'o amemkubali Onana, tunataka kuona Simba ikiwa na kikosi kipana chenye Muunganiko.

Tuulizie bei ya Feisal pale Kati atafaa Sana,Na Bangala.

3 MZEE WA OBJECTIVES APEWE MTIHANI,
Haitoshi kutuambia Simba klabu kubwa, tunataka kuiona ikifanya vizuri uwanjani. Wapi Mpira Biriani kocha aambiwe Kama hawezi kuleta muunganiko wa kikosi arudi kwao Brazil.

Vipi Shabiki Mwenzangu tufanye nini kurejea kwenye ufalme wetu maana dozi ya leo si kitoto!
 
Timu Mbovu zilizofungwa na Yanga Msimu huu 2023/2024 mpaka sasa;

1. KMC - Goli 5
2. JKT Tanzania - Goli 5
3. AZAM - Goli 3
4. SIMBA - Goli 5

Hamsa [emoji113]

Je huyu ndio alichaguliwa super league [emoji1]
 
Mkuu, tusajili wachezaji wa kutufikisha mbali kimataifa sio wa kumfunga tu Yanga.
 
Timu kuruhusu magoli kila mechi ilikua ni dalili mbaya na alert kwenu, ila msemaji wenu akawa anawapooza eti kikubwa ni ushindi. Mkajitungia na jina eti mnapiga pira objektivu.

Tatizo la simba ni kujifariji kwa kipumbavu, sasa hivi wanajipa moyo eti tuliwapiga Yanga 6-0, msemaji wao akiipromotr hii ishu hizo goli 5 zitapata mfariji na pira objekitivu litaendelea.

Mara raisi wa heshima kachagua wazee gani sijui, nje ya uwanja mambo kibao
 
Timu Mbovu zilizofungwa na Yanga Msimu huu 2023/2024 mpaka sasa;

1. KMC - Goli 5
2. JKT Tanzania - Goli 5
3. AZAM - Goli 3
4. SIMBA - Goli 5

Hamsa [emoji113]

Je huyu ndio alichaguliwa super league [emoji1]
Kimataifa CAF na FIFA walizingatia performance ya misimu iliyopita, YANGA imekuwa bora kimataifa msimu ulioisha tu.

Kuhusu ubovu wa timu yetu nakubali, tumekutana na Yanga bora ametuadhibu
 
Timu kuruhusu magoli kila mechi ilikua ni dalili mbaya na alert kwenu, ila msemaji wenu akawa anawapooza eti kikubwa ni ushindi. Mkajitungia na jina eti mnapiga pira objektivu.

Tatizo la simba ni kujifariji kwa kipumbavu, sasa hivi wanajipa moyo eti tuliwapiga Yanga 6-0, msemaji wao akiipromotr hii ishu hizo goli 5 zitapata mfariji na pira objekitivu litaendelea.

Mara raisi wa heshima kachagua wazee gani sijui, nje ya uwanja mambo kibao
Acha tu, Mzungu kashindwa kazi huyo
 
Baada ya kichapo tena cha mbwa koko aliyekula mboga ya mchana kutoka kwa mahasimu wetu wa "mabonde kuinama "kwenye mafuriko. Kama mshabiki, mnazi, mkereketwa ninashauri yafuatayo:

1.TATHMINI IFANYIKE KUHUSU MWENENDO WA KLABU YETU NDANI NA NJE YA UWANJA.
Lazima wataalamu watuambie je kila mmoja kwenye uongozi anayafanya majukumu yake ipasavyo?

Je kikosi chetu kina mapungufu yapi kiufundi? Mechi ya watani ni kipimo kizuri cha kuonyesha wapi panavuja

2.USAJILI WA MAANA UFANYIKE
Hatuhitaji tena ngonjera za Mwenyekiti kupiga picha na Manzoki wala kuambiwa eti Eto'o amemkubali Onana, tunataka kuona Simba ikiwa na kikosi kipana chenye Muunganiko.

Tuulizie bei ya Feisal pale Kati atafaa Sana,Na Bangala.

3 MZEE WA OBJECTIVES APEWE MTIHANI,
Haitoshi kutuambia Simba klabu kubwa, tunataka kuiona ikifanya vizuri uwanjani. Wapi Mpira Biriani kocha aambiwe Kama hawezi kuleta muunganiko wa kikosi arudi kwao Brazil.

Vipi Shabiki Mwenzangu tufanye nini kurejea kwenye ufalme wetu maana dozi ya leo si kitoto!
Majigambo na kujiamini bila mipango mikakati ya ushindi (lack of competitive analysis and individual skills of players)
 
Kabisaa nahisi pesa za MO zinapigwa kwenye usajili au hatuna scouting nzuri. Angalia sajili zetu linganisha na Yanga utaona utofauti
Umeongea point hii.. kiukweli kesho kibaruani ridhiki itapatikana kwa masimango wemgine mpaka tufike makazini tunakutana na wadau wengi hasa watani.
 
Kabisaa nahisi pesa za MO zinapigwa kwenye usajili au hatuna scouting nzuri. Angalia sajili zetu linganisha na Yanga utaona utofauti
Au pesa zinazotolewa sizo zinazosemwa. Mwanzoni mwa msimu tulijua tuna club bingwa, super legue na michezo ya ndani. Ila angalia usajili wetu. Unafanana kweli na timu iliyotaka ķuitoa Al hahly na kina mamelod? Timu haina wachezaji ni hao hao kina kapombe, Chama kila mechi, ukijumlisha na umri lazima wachoke.
 
Pole sana mkuu kama utawezg ungesikiliza nyimbo ya jenifer mgeni nalia..poleeh nalia poleeh ingekupoza
Mkuu ahsante kwa dedication naujua vizuri huo wimbo na albamu nzima nimeisikiliza.
Kwenye mashairi anasema "nilidhani nimepata kumbe nimepatikana " sidhani Kama ni dedication nzuri Mimi nasikiliza Tatu bila ya TMK 😀😀
 
Gamond sio mtu mzuri.. yaani mchezi wa mafataki yeye kawatupia NYUKILIA
F-L_O8_WoAEMTty.jpeg
 
Kabisaa nahisi pesa za MO zinapigwa kwenye usajili au hatuna scouting nzuri. Angalia sajili zetu linganisha na Yanga utaona utofauti
Mimi naisi ata uyu mo ela hatoi ,,viongozi wa simba wengi wana siasa ,,, staili yao ya uwendeshaji timu kama vile man u , angalia usajli wao ,utafutataji wao wa makocha ,,, hawako siliasi kabisa , mwaka wa tatu huu makosa yale yale kama timu ambazo simba anacheza nazo na zao zingekua vzur iz tano zingekua muendelezo tu ,timu nyingi zinakosaga bahati au umakin tu kuifunga simba goli nyng ,lakin simba mwaka unaenda wa tatu wanafanya zalau katika usajili na uchaguzi wa makocha
 
Mo nae Chuprichupri, viongozi wake wana janjajanja nyingi
 
Back
Top Bottom