Simba yapewa ruhusa rasmi kufanya mazoezi ya mwisho Uwanja wa Mkapa kuelekea Dabi Juni 15

Hahaha kumbe wizara ndio inakumbusha hadi pre match meeting ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚vioja
Nawashangaa sana yanga kusema sijui nani akijiudhuru TUNACHEZA hii ni hakuna kucheza mazima
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ vituko vingine bana!!, sasa kama walijua kuwa kufanya mazoezi siku moja kabla mechi.. mbona hatukuona trh 8?. Wizara imeambiwa na nani kwamba mechi itachezwa kwa mkapa?. If yanga akisema anapeleka timu lake Tanganyika?. Kikao kabla yaa mechi kimefanyika wapi?, Marefa wametangazwa?.
ALIYEKATAA KUCHEZA TRH 8 MPKA UCHUNGUZI UFANYIKE NA HATUA KUCHUKULIWA DHIDI WALIOWAZUIA KUINGIA UWANJANI NDIO HUYO HUYO ANAYETAKA KUFANYA MAZOEZI KWENYE UWANJA AMBAO ALIZUIWA HUKU HAKUNA LIPOTI WALA ALIYEWAJIBISHWA. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hapa yanga anakula mama na mtoto wake.
 
Sisi midomo fc tulishapiga domo zetu.. 1) hatuchezi mechi tatu za ligi tff + bodi watupe alama zetu 9 za kutocheza. 2) Na crdb fainali hatuchezi na watupe ubingwa wa FA na zawadi ya millioni 250 za ubingwa.
 
Kuwa na D mbili,wizara Ndio inaandaa mchezo?,Wizara Ndio itacheza uwanjani wanasimba ni MDA wenu kuchoma Mafuta HATUCHEZIII
 
Yaani ukiweka ushabiki pembeni kwenye hizi timu mbili unaona Simba ina kaukubwa flani hivi na inapewa kau-special..
 
Watu wamemuangalia na kumsikiliza AliKamwe wamemuona kama ka mbwa tu, ka puppy kalikotumwa kubwekabweka. Hamna mtu amekuwa na tyme naye. Wanamsubiri aliye nyuma ya huyo mbwa, aje front aache kujificha kwenye sketi
Ni ukweli wanamsikiliza Ali kamwe
 
Vipi kijana wa Mangungu, umeshauona tayari huo ukubwa wake; au bado unaendelea kusubiri kuuona?
Hawaamini kilichotokea...Yanga ni dude kubwa....mpaka karia anataka kubwaga manyanga....Tulokuwa tunataka wachomoke wamejichomoa wenyewe, Simba si walikuwa wanataka game haya tarehe 25 hiyo hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ