Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Hao kama familia,jamii taasisi na taifa ni aina ya malezi au mtindo wa maisha tulio ulea na kuukubali pamoja na mapungufu na madhaifu yake yote,hivyo ya faa turejee kwenye kamsemo kale ukipenda boga,penda na mapendikizi yakepamoja na maua pia!Hii hii derby naniyoijuwa ya kina kayoko au kuna nyingine