Hao kama familia,jamii taasisi na taifa ni aina ya malezi au mtindo wa maisha tulio ulea na kuukubali pamoja na mapungufu na madhaifu yake yote,hivyo ya faa turejee kwenye kamsemo kale ukipenda boga,penda na mapendikizi yakepamoja na maua pia!Hii hii derby naniyoijuwa ya kina kayoko au kuna nyingine
Nyie uko FIFA mko nafas ya ngapi ukitoa kesi zenu kule CAS najua mnaongoza kwenda CASTupatie pia Rank za FIFA achana na hizo za CAF, kuna watu hata top 100 hawapoπππ
Wewe uliposhiriki ulifika mpaka wapi usianiambie makundi na habari za kikokotoziKabla ya Link, umewahi kushiriki Ligi yoyote ya mabingwa kwenye bara lako msimu jana?
Watajifanya hawaelewi.Tupatie pia Rank za FIFA achana na hizo za CAF, kuna watu hata top 100 hawapoπππ
Aweke link, hata wewe weka hiyo ya FIFAWatajifanya hawaelewi.
Safari hii ranking zimetugeuza kichwa chini, miguu juu! π€ΈHalafu wote wawili wanaanzia raundi ya kwanza klabu bingwa pamoja na rank zao
Kabla ya kuweka link. Nikuulize swali kwanza, una points ngapi ukitoa ulizokusanya kwenye CAF Confederations? Yaan zile za cAF CLAweke link, hata wewe weka hiyo ya FIFA
Zote hizo zinahesabiwa kwenye CAF ranking, lakini hamna ranking za club za FIFA labda national team. Kama una link weka.Kabla ya kuweka link. Nikuulize swali kwanza, una points ngapi ukitoa ulizokusanya kwenye CAF Confederations? Yaan zile za cAF CL
Hujajibu swali badoZote hizo zinahesabiwa kwenye CAF ranking, lakini hamna ranking za club za FIFA labda national team. Kama una link weka.
We mwenyewe hujajibu swali languHujajibu swali bado
FIFA CAF 4 Year Ranking nafasi ya 10, Cha ajabu kuna timu haijulikani kama imewahi kushiriki mashindano ya baraπππNyie uko FIFA mko nafas ya ngapi ukitoa kesi zenu kule CAS najua mnaongoza kwenda CAS
Hamna kitu kama hicho, umedanganywa na kipeperushi chakoFIFA CAF 4 Year Ranking nafasi ya 10, Cha ajabu kuna timu haijulikani kama imewahi kushiriki mashindano ya baraπππ
Timu yako imebeba makombe mangapi yasiyokuwa ya mbuzi?Hivi yale makombe ya mbuzi,huwa inamsaada gani kwa yanga?ni uchafu ule
Hiyo rank ni ile iliofanya mkawa mnamlilia ali kamwe kwenye harusi yake ?FIFA CAF 4 Year Ranking nafasi ya 10, Cha ajabu kuna timu haijulikani kama imewahi kushiriki mashindano ya baraπππ