Simba yatambulisha mshambuliaji mpya kutoka Ivory Coast Freddy Michael Kouablan

Simba yatambulisha mshambuliaji mpya kutoka Ivory Coast Freddy Michael Kouablan

Uzi unahuzunisha na kuchekesha ...
Unachekesha hapo kwa mwana parokia mpya wa Uto mtakatifu Joseph
Unahuzunisha hapo kwa Baleke na Phiri...yani mm nilikua nampenda Baleke anavyoshangilia mabao ya wenzie kwa moyo wote...sijui nini kilimkumba jamani akawa kama amepigwa zongo..msimu uliopita alikua tishio...
Zongo ndio nini?
 
Mbumbumbu wao wanashangiliaga usajili tu
Hata Dejan mzungu mbumbumbu walitamba
Tujikumbushe usajili mbumbumbu waliopiga yowe
Miqson kibonge
Onana galasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Nyani na Sokwe akili yako imeliwa na UTI heri hao Makolo wameshangilia. umesahau Jinsi mlivyokuwa mkiwabeba na Machera wachezaji Vimeo Akina Calinyo, Sibomana nk. Kwakuwa ubongo wako umejaa fangasi huwezi kumbuka chochote
 
😂😂😂 mnatudanganya huku sura zinaonyesha kabisa kuwa jua limeshakuchwa. 😂😂

Nenda karikaoo kanuue suruali yenye size 34 ya taiwan au china ukivaa itakutosha.

Halafu mwambie muuzaji akutolee 34 ya German ujaribu kuvaa utaona kuwa ni size ya pepe kale yani haikuenei.

Kwa hiyo utagundua sometimes namba nazo zinaongopa..... na hapo ndipo ilipo hoja yangu

Striker wetu ana mwili wenye asili ya kijerumani yani umri mdogo kwa namba halafu umbile na sura vi vya kiutu uzima.
 
Kama ni kamari basi hakuna sababu ya ku point finger kuwa mchezaji tuliyemleta ni mbovu.

Kiufupi kwa hoja yako inaonesha hautakiwi ku criticize chochote kwenye usajili mpya
Ndivyo ilivyo subiri uone mchezaji uwanjani.
 
Mt. Joseph parokia ya Ivory Coast

Kutoka kwenye ukurasa wa James Sheka

Mfahamu, Joseph Guede Gnadou ambaye ni mchezaji mpya wa kikosi Cha Yanga SC raia wa Ivory coast, huyu ni mchezaji mwenye umri wa miaka 29 ambaye kazaliwa mwaka 1994 huko nchini Ivory coast...
Uzi wa Simba kumtambulisha mchezo lakini cha ajabu unajigulisha na vitu visivyo kuhusu.
 
Uzi wa Simba kumtambulisha mchezo lakini cha ajabu unajigulisha na vitu visivyo kuhusu.
Hii ya Mt. Joseph imebamba sana

Kiufupi haivumiliki yani inachekesha
 
Hii ya Mt. Joseph imebamba sana

Kiufupi haivumiliki yani inachekesha
Endelea kucheka kipindi hiki cha kusajili kama kawaida yenu ila ligi ikianza maneno hubadilika na kuanza kunyosheana vidole Msimbazi
 
Endelea kucheka kipindi hiki cha kusajili kama kawaida yenu ila ligi ikianza maneno hubadilika na kuanza kunyosheana vidole Msimbazi
Ndio part ya mchezo hizo moments zipo tu

Sasa sijui wewe unependa timu kwa mategemeo ya kupata furaha tu au namna gani

Lakini uzuri ni kwamba sitegemei kupata furaha kupitia ushindi wa Simba peke yake, hata nikiona Yanga inafungwa mi pia nafurahi.
 
Sawa hater nimekuelewa
 
Sasa wewe kwa akili yako ulijua mimi nitaipenda Yanga?

Serious kabisa uliweka mategemeo hayo??
Kwa akili yangu nilijua tu kuwa wewe ni hater hivyo sikuwa na mategemeo hayo
 
Back
Top Bottom