Simba yatangaza mkataba wa TSH Bilioni 26.1 kuanzia leo Agosti 1, 2022

Mimi nabaki najiuliza, wale waliokuwa wamekomalia eti mkataba wa Simba na M-bet ni 15b per 5 yrs walikuwa wametoa wapi hizo data??

Tukawaambia "Jamani simba walisema watatangaza thamani ya mkataba tar 1 Aug" lakini wapi wakakomaa tu.

Hata huko twitter wale wanaojiita wachambuzi nao wakakomalia hilo hilo.

Itoshe kuhitimisha kuwa "Hii nchi ina WAPUMBAVU wengi sana, Hata kwenye lile kundi la watu wanaojiita wasomi, nako kumejaa wapumbavu wengi sana.
 
Yanga walitangaza hadharani kuwa mkataba wao hauta fikiwa na team yeyote bongo [emoji1787] wao ndio wa Kwanza Mmhmm....naona wamekatwa Mbali mno hii League kwani thamani yake Ni tsh ngapii labda maana naona vikumbo vimekuwa vingi.
 
Unapata shida kumuelekeza shabiki wa Yanga wakati unajua kabisa huyo sio kikwete wala sio sunday manara?
 
Alijichanganya kivipi sasa? Mwanaume kuwa na wivu na mwanamke ni aibu kubwa sana. Ulitaka wewe ndio uwe CEO?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…