SIMBA ni KAMPUNI??? Umewahi kuona Financial statements za Simba Sports Club??
Kwako wewe hapo kodi itatozwa kwa nani?? Unadhani TRA wanasikiliza maneno badala ya ushahidi wa kimaandishi??
Sikia, TRA wao wataangalia Statements za pande zote mbili kwa M-Bet itaonekana kwenye Comprehensive Income upande wa Expenses kwa maana Advertisement expns na Simba as a Revenue (Sponsorship).
Mkataba wa Miaka 5 na Sheria ya kodi haitozi kodi kwa miaka kadhaa mbele, hutoza katika mwaka husika wa Kodi au Mkuu wangu umesahau hili leo??
Ukiangalia Mapato ya M-bet na matumizi yao maana yake watagenerate Loss katika miaka hii ya karibuni.
Financial Statements za M-bet haziko stable sana kiasi cha kumudu hizo gharama.
Nilichokuwa nawaza hapa ni kwamba ni ngumu mno kwa M-bet kuhandle huo mkataba, ni moja ya makampuni madogo hapa Tz pamoja na ukongwe wake.
Nakuomba tafuta vitabu vya mahesabu ya M-bet ndio utakuja kuelewa ninashosema hapa.