Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simba leo ni kukaba mwanzo mwisho sizani hata hizo Counter kama zitapigika kwani Sakho mara nyingi atakuwa peke yake.
 
Kipara anapiga na makofi anajiaminia nini au ndo anashangilia sare?
 
Mwenye link inayoonyesha live naomba anitumie nicheki mechi
 
Orlando Huuni mpira afu wanatumia symbol za ngono
 
Kama ikipita nusu saa bila goli basi Simba anatoboa maana anaugonjwa wa Kupata wenge katka dakika za mwanzo
 
Mpira umeanza kwa Kasi, simba wakipata free kick, pirates wanakosa goli dk ya 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…