Gunia linakung'utwa nini hapo....!?Pu pu pu pu hakuna mipango
download app inaitwa hdtv ultmate kupitia Google then install,game ipo supersport psl ila internet iwe haisumbui maana ni fullhdTofauti na hesgoal,sehemu gani online wanaonyesha hili game..?
Kwani wakiwa uwanjani wanatusoma huku JF?Wakabe waende vizuri half-time, Simba Sc tunakabiliwa na tatizo la kisaikolojia mpaka sasa, likipatiwa ufumbuzi huko dressing room naamini tutarudi vizuri.
Kama jinsi ambavyo nyinyi mashabiki hamuiamini team yenu na mna wasiwasi ya kupigwa goli, ndo hivyohivyo wachezaji walivyo humo ndani, kiasi cha kushindwa kupiga hata pasi mbili.
Half-time twende bila bila, tutafuzu.