Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Hawa wajinga muda ukizidi kwenda wata panic, wataanza kucheza foul, muhimu tukomae nao kwa muda huu uliopo second half tutawatuliza tukianza ku possess
 
Hizi dk 5 za kwenda half time concetration ni laxima kwa Simba
 
Wakabe waende vizuri half-time, Simba Sc tunakabiliwa na tatizo la kisaikolojia mpaka sasa, likipatiwa ufumbuzi huko dressing room naamini tutarudi vizuri.

Kama jinsi ambavyo nyinyi mashabiki hamuiamini team yenu na mna wasiwasi ya kupigwa goli, ndo hivyohivyo wachezaji walivyo humo ndani, kiasi cha kushindwa kupiga hata pasi mbili.

Half-time twende bila bila, tutafuzu.
 
Tofauti na hesgoal,sehemu gani online wanaonyesha hili game..?
download app inaitwa hdtv ultmate kupitia Google then install,game ipo supersport psl ila internet iwe haisumbui maana ni fullhd
 
Wakabe waende vizuri half-time, Simba Sc tunakabiliwa na tatizo la kisaikolojia mpaka sasa, likipatiwa ufumbuzi huko dressing room naamini tutarudi vizuri.

Kama jinsi ambavyo nyinyi mashabiki hamuiamini team yenu na mna wasiwasi ya kupigwa goli, ndo hivyohivyo wachezaji walivyo humo ndani, kiasi cha kushindwa kupiga hata pasi mbili.

Half-time twende bila bila, tutafuzu.
Kwani wakiwa uwanjani wanatusoma huku JF?
 
Back
Top Bottom