Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Hii mechi na Orlando ndio mechi pekee ambayo inatuletea ugumu wa kufikia fainali za CAFCC msimu huu, ikitokea tumewatoa hawa basi fainali tunacheza maana kudeal na mwarabu (nusu fainali) sio kazi ngumu tena kwa Simba Sc hasa ukizingatia atamalizia kwa mkapa.
 
Kutocheza kwa Morrison ni pigo kubwa, mwamba ana uwezo binafsi wa kuamua mechi.
 
Afu akamuanzisha na Kibu mbele[emoji23]
 
[emoji419]
 
Simba wamepokelewa na Bajaj huko bondeni
 
Nusu fainali ya kombe la Tusker labda
Nani mwingine amegundua kuwa Yanga hawana kabisa furaha na uongozaji wao wa ligi?? Roho zinawauma kwakua hawawezi kujifia kuongoza ligi au kuchukua kombe ikiwa Simba sc bado inashiriki katika ligi kubwa kuliko NBC.

Jana kulikuwa na mechi yao na walishinda ila huwezi kuona nyuzi zao humu kwasababu hawana guts za kuiponnda Simba Sc, wanaongoza ligi ila hii meizi yote mada zilizo sheheni humu ni juu ya Simba Sc na mechi zake kimataifa.

Njia pekee ya kuendelea kuwatesa kisakolojia ni kufuzu nusufu fainali na kuingia kabisa fainali, ili kuwanyima fursa ya wao kutamba ndani ya siku za hivi karibuni.

Na hii sio kwa jf, hata huko Instagram, twitter na mitaani mashabiki wa Simba Sc tunaendelea kuwa wenye furaha kwasababu tu Simba Sc ipo CAFCC. Hivyo wachezaji wasituangushe.
 
Shida yako ni kwamba mtu akicomment tofauti nabunavyofikiri unajua ni Yanga...hopeless
Hmmh kuna mwana Simba Sc asiyetaka ifuzu kungia nusu fainali tofauti na mabumunda ya GSM? Hivi kwanini msijivunie tu kuwa mashabiki wa li team lenu (yanga)??

Yani hamna kabisa furaha licha ya liteam lenu kuongoza ligi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…