makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kaumia saana.Wapo wataokuwa na wakati mgumu kwenye haya matokeo ila kwa enonga itakuwa ni zaidi
Enonga kuna muda camera ilimuonesha akiwa anatetemeka sana baada ya kukosa ile penalty, sidhani kama mentality yake iko poa
Haya matokeo yamem-disgusting sana
😭😭😭NakusaidiaNkamu nimeumia roho inaniumaaa natamani kulia
WoteeeeeeeWakyela au Rungwe usije kichanganya watu
Unakimbia kimbia wewe ndio shida yako heheSifi tena.
You are missed too boss wangu wa Dubai [emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Honestly nimemuonea huruma sanaKaumia saana.
Poleni HS amapiano sio poa.Kapombererrrrrrrrr kwa Jina la Baba...
Imemuuma sana maskini.Wapo wataokuwa na wakati mgumu kwenye haya matokeo ila kwa enonga itakuwa ni zaidi
Enonga kuna muda camera ilimuonesha akiwa anatetemeka sana baada ya kukosa ile penalty, sidhani kama mentality yake iko poa
Haya matokeo yamem-disgusting sana
Thubutu yenuMakolo jiandaeni 30/4/,Maana tunaenda kupiga kwenye mshono.[emoji3][emoji3]
Wewe ntakudundaaaa🤣🤣Poleni HS amapiano sio poa.
Mambo yaliyo mtokea Inonga kukosa penalty, yalisha tutokea Yanga dhidi ya Ahly Said Bahanuzi alitulaza na viatu 2013.
Hawataamini tutawwapiga kwemy mshomo though jmaaa wameiva aise hi michuano ni nzuri San unaimarika kwa namna fln so tuziwabeze wanaweza wakaja kutuangushia zigo la hasiraaMakolo jiandaeni 30/4/,Maana tunaenda kupiga kwenye mshono.[emoji3][emoji3]
Jamaa leo kaokoa nyingi sana, sema sie wabongo sio waelewa.Wapo wataokuwa na wakati mgumu kwenye haya matokeo ila kwa enonga itakuwa ni zaidi
Enonga kuna muda camera ilimuonesha akiwa anatetemeka sana baada ya kukosa ile penalty, sidhani kama mentality yake iko poa
Haya matokeo yamem-disgusting sana
Mimi nipo jukwaanii kwangu mbona, sikosekani kuleUnakimbia kimbia wewe ndio shida yako hehe