Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Kama Simba ataweza kuzuia asifungwe Holi kipindi Cha Kwanza kwa Hiki kikosi Basi anaenda kufuzu.ila akiruhusu kufungwa tu dakika hizo za mwanzo basi atafungwa goli sio chini ya 4-0 Leo.
 
Duh!..
 
Haya mambo ya kishirikina wanayofanya Simba uwanjani hayatawaingiza kwenye matatizo kweli?
 
Msiba kamwe huwezi kulia peke yako, lazima majirani tuje kuhani na kuwafariji familia ya marehemu.

Niko hapa kuwapa nguvu Amapiano ya huko Kusini.

Karibu mpate burudani muruaaaaa.
 
Kikosi cha Simba SC KinachoanzaView attachment 2199141
Kwa hiki kikosi, ikitokea first half imesha bila-bila basi tunafuzu mapema tu.

Shidi ni ikitokea mfumo ukafeli kisha tukaruhudu goli kipindi cha kwanza, mambo yatakuwa magumu sana.

NB: Hapo ni kukaba mwanzo mwisho maana hakuna wachezaji wa kumiliki mpira, wachezaji watahitaji mapafu ya mbwa leoπŸ˜„.
 
Tuko pamoja mikia!πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€
 
Nilipo kiona tu kikosi swali la kwanza kunijia ni je tukitanguliwa goli mbili fasta itakuaje kwa kikosi hiki?

Lakini mkuu hawa ndio wachezaji waliopo tumuamini mwalimu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…