joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Manula haki yake kudai mil 250 mkataba mpya saves mbili ndani ya dk 5.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kalengwa Tu, manula ni Bua MzeeManula ni kipa jamani tuache utani
Bua kuliko yule bumunda aliye pigwa goli la kideo na Kichuya??
Ile faulo hajalengwa mkuu
Punguza pressure Mdg Wangu [emoji2][emoji2][emoji2]Aisee hapa kuna mengi ya kushangaza
Kwangu bora concentration yetu iwe kukaba kwanza, then kushambulia kuwe secondary objective, kwa ubora wa hao jamaa hasa baada ya kuwafunga lile goli mpira walioanza kuucheza kwa Mkapa sio wa kupishana nao, tutulie kwetu waje tuzuie kwanza.Kwa kikosi hiki, sijui, ika kocha ni muoga kuliko maelezo, atakaribisha mashambulizi ambayo nina wasi wasi na umakini wetu
Haangalii mpira huyo.Ile faulo hajalengwa mkuu
Kesho lazima muamke na stori za kumkataa Pablo! Kisa ameanzisha mabeki tupu!Hii mechi tukitoboa kweli sisi ni vidume