Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Leo mbona kama kuna balaa. Waendelee kukosa tu.
 
Kwa kikosi hiki, sijui, ika kocha ni muoga kuliko maelezo, atakaribisha mashambulizi ambayo nina wasi wasi na umakini wetu
Kwangu bora concentration yetu iwe kukaba kwanza, then kushambulia kuwe secondary objective, kwa ubora wa hao jamaa hasa baada ya kuwafunga lile goli mpira walioanza kuucheza kwa Mkapa sio wa kupishana nao, tutulie kwetu waje tuzuie kwanza.
 
Hii mechi tukitoboa kweli sisi ni vidume
Kesho lazima muamke na stori za kumkataa Pablo! Kisa ameanzisha mabeki tupu!

Timu haiko organized kabisa! Mfumo hauleweki ni wa aina gani! Wachezaji wameambiwa wakabe tu. 😬😬😬
 
Haya freekick nyingine eneo la nje ya 18
 
Back
Top Bottom