Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Hao wachezaji wenye kadi za njano kama Wawa na Mugalu kocha awatoe mapema kuepuka madhara
 
Kipindi cha pili Kibu Dennis aingie, ili kuongeza mashambulizi. Si tulikubaliana huyu ni zaidi ya Fiston Mayele! 😫
 
Simba ikitulia hivi hivi inatoboa

Atoke Mugalu aingie kagere
 
Kumbe Orlando ni wakawaida sana hata nyumbani kwao. Wachezaji wa Simba wanapaswa watulie maana jamaa watakuja na plan B ambayo itakuwa ni yakuongeza kasi ya mashambulizi, uzuri wake hawachelewi kuchoka na kurudi katika mpira wa kawaida. Kwa Simba plan yetu kipindi cha kwanza ni SUCCESSFUL, tusubili cha pili tukiepuka set pieces
 
Back
Top Bottom