Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
63'Dk ya ngapi now?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
63'Dk ya ngapi now?
uzuri ni kwamba tukitoewa kocha wa Madrid ya Buza hana kazi.
![]()
مشاهدة قناة بي ان سبورت beIN Sports 3 HD بث مباشر حصري بدون تقطيع - ايجي لايف
بي ان سبورت 3 beIN Sport HD3 live channel مشاهدة مباريات اليوم علي قناة بي ان سبورت premium 3 hd المشفرة بشكل مجاني بدون تقطيع علي koora live بين سبورت 3HD يلا شوت بدون تقطيع bein sports 3egylive.online
Dk zina ongezwa.Kwani geme ikiiaha hivi si wanaenda kwenye matuta au?
Dk afu PenaltyHivi wakitoka 1-1
Hadi Mwisho wa Mpira Itakuwaje?
DaaHatari mkuu, na goli tumepigwa.
I Told You Makolo [emoji23]Kwame Peprah Lazima Akwamishe Watu Leo [emoji4]View attachment 2198949
Tayari mmeanza! 😁😁😁 Mugalu ameupiga mwingi sana leo! Yaani alikuwa anakaba mpaka kivuli! 😁😁Kocha nae mjinga tu, alikuwa anasubiri nn kumtoa huyu Mugalu mapema?
Kupaki bus sio tatizo, mbn 1st half tumepaki. tatizo ni ujinga wa kocha mchezaji ana kadi ya njano game ya pressure km hii anamuacha muda wote matokeo yake ndio hayoWatu wanaamini Sana kwenye kupaki basi ,matokeo yake ndio haya sasa...