Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Huyu jamaa Shandu alivyoingia sasa ni bonge la haramia mbaya sana huyo..
 

Shukrani kwa niaba ya jamvi hili la spoti
 
tunawachezaji ambao hawajui wafanye nini wanapokuwa na mpira, Beki zinazokabia macho na wachezaji walioridhika ukosefu wa Morrison ni pengo pale Simba kwenye game ya leo
 
Back
Top Bottom