Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Huyu Pablo Alishaona Mugalu Ana Njano Na Bado Anacheza Sana Rafu Bado Akaendelea Kumuacha.

Huyu Pablo Nae Ndezi tu Umejeza Mabeki Then Watu Wanapita Kirahisi Kabisa.

Msamehe bure. Primary Kazi ya Mugaru aka Darasa leo ilikua ni kukaba sio kufunga
 
Back
Top Bottom