Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simba bila kufanya team overhaul kuanzia Matola, haitafika popote

Sent using Jamii Forums mobile app
Mashabiki wa soka la Bongo tupo emotional sana.
Yaani matokeo ya match moja yanatosha kushawishi watu kuwa timu ni mbovu?
Tuseme ukweli kwa miaka 3 Simba imekuwa level nyingine, ni popo wachache kama Mugalu wanaotoboa meli.
 
Walisema mnyama atafungwa 5 wanaona aibu kwa hii mbungi.

Ndo wajifunze kucheza mechi za away.
giphy.gif
 
Back
Top Bottom