Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simna Hana kikiombe chochote msimu huu Cha kubeba Bado pamba inamsubiri na yanga nayo tutamsononesha kwa kweli
Yaone
giphy.gif
 
Mambo yaliyo mtokea Inonga kukosa penalty, yalisha tutokea Yanga dhidi ya Ahly Said Bahanuzi alitulaza na viatu 2013.
 
Wapo wataokuwa na wakati mgumu kwenye haya matokeo ila kwa enonga itakuwa ni zaidi

Enonga kuna muda camera ilimuonesha akiwa anatetemeka sana baada ya kukosa ile penalty, sidhani kama mentality yake iko poa


Haya matokeo yamem-disgusting sana
 
Back
Top Bottom