We shoga jitulize
Makolo wanapiga penalty utafikiri wameanza period
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makolo wanapiga penalty utafikiri wameanza period
Sifi tena.Sasa isije ikakuzika tena tu..
Missed youu!!
Wachawi hamkosekaniPirates wanapata ya 4,na wakipata hii Simba mjiandae kwenda kucheza na pamba
Tula ndio nini?Tula kwanza wewe
YaoneSimna Hana kikiombe chochote msimu huu Cha kubeba Bado pamba inamsubiri na yanga nayo tutamsononesha kwa kweli
Bado sana..[emoji23][emoji23]..kayachome moto hayo madude...
Ni sisi wanyaki tu. We are so proud of our Simba though, tumeghairi kuliaWengine hakiwahusu [emoji1787][emoji1787]
Wakyela au Rungwe usije kichanganya watuNi sisi wanyaki tu. We are so proud of our Simba though, tumeghairi kulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Tujikaze tu nkamu. Wamepambana kiumeNkamu nimeumia roho inaniumaaa natamani kulia
Mmepembana sana Makolo,hakuna anayeweza kudharau efforts mliyowekeza katika kufikia hatua hii....binafsi nikiwa na Mzee wangu mpira nawapongeza Mikia