Wao wenyewe si walichukua Kombe la Mapinduzi kuke Zanzibar kwa mikwaju ya penaltiSahihi kabisa dada. Brazil ilichukua kombe la dunia 1994 dhidi ya Italy kwa mikwaju ya Penalty, mwaka 2006 Italy ilichukua kombe la dunia dhidi ya Ufaransa kwa mikwaju ya Penalty na 2022 Argentina ilichukua kombe la dunia dhidi ya Ufaransa kwa mikwaju ya Penalty. Wengine historia hiyo hawaijui, ama walikuwa wananyonya au hawajazaliwa kabisa!
Walijikausha pale alipopeta penati mbili za halaliYaani Amina Kyando hafai kbs....Kwa Maoni ya Wana Utopolo...
Na Huyu Jonesya Rukya Hafai....Kwa Maoni ya Wana Utopolo ....
Sasa next Match Mleteni Hersi au Mzungu pori...!
Ndani ya 90' ....mnawapa majukumu mazito wachezaji, Urefa na Kucheza pia..! Ndo mana wamekosa penati...
Yanga inabidi tutoke kwenye 'maombolezo' ya Mayele. Timu tuliyo nao ndiyo hii na usajili umeshafungwa, iliyobaki ni coach na yeye kuonyesha uwezo wake kwa kutumia wachezaji waliopo kupata ushindi.Pole bana ila kuna mwamba humu anaitwa PakiJinja aliwahi kusema binadamu tuna maisha ya kujitakia
View attachment 2716587
Wanachotaka kukifanya ni kumgombanisha Mkude na mashabiki, viongozi na wachezaji wenzie.Acheni kumharibia kibarua mwenzenu.
Tatizo sio wapigaji bali ubora wa Goalkeeper ndo umechangia matokeo hayo.
Mkude mwacheni ale mafao yake vema kazi yake imeonekana. Alimficha Ngoma Nangwa vilivyo
Ile moja mzamiru alikaba saana, je tunahitaji kuwa tunakaba game zote, hatuhitaji kucheza.Mechi ya Derby tulioshinda mbili hukuona kazi kubwa aliyofanya Mzamiru na Kanoute?
Tena wakati huo Yanga ilikuwa na mido ngumu chini ya Aucho na Bangala sio kama hivi sasa ilivyo.
Kwa uhalisia watu wengi hawaipendi CCM, tatizo hao wengi hawaenda piga kura.Hongereni Simba kwa ushindi wa matuta, mpira una matokeo katili.
Asiyeipenda Ccm bora aachane na Siasa, mission complete.
Wenye akili tu ndio watalielewa andiko hili.
DP karibuni sana Watanzania wote tumeridhia tuna raha.
hili hata mimi nililiona akiwaambia wapige upande wa kulia mwa salimu na kweli yakapiga huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niliona anayaelekeza mautopolo wapi pa kupiga penalti, nikajua kwisha habari ya utopolo.
Ajabu na kweli, mautopolo yamepiga penalti zote upande mmoja, hata ile ya kwanza iliyojaa kimiani.
Thank you Mkude.
Nyie wenye timu mbona hamjashinda?Simba hamna timu pamoja kwamba wameshinda...kwa pira walilopigiwa sijui wataenda kufanya nini huko afrika.
Ila mayele atakumbukwa kwenye game kama hizi.
Miq na Chama wameletwa Simba kiushabiki.Mimi huwa napenda kujadili na mtu anayejuwa mpira.
Ukweli uliowazi bado timu zote mbili zinajengwa.
Nabi ilimchukuwa misimu miwili na kuvumiliwa ili Yanga kupata mafanikio.
Simba INA advantage kubwa kucheza super cup bila kujali matokeo itakayopata lakini watakuwa na timu, take it from me.
Yanga marekebisho ni machache kuliko Simba, niliwaambia hapa kuhusu Miquison aliyempa mkataba wa miaka mitatu kawaingiza chaka.
Kuhusu imani za kishirikina zipo huko, hizi timu zote mbili zinamilikiwa na serikali.
[emoji28] wa nini?YANGA BINGWA
Kuna mjadala wa mpira tunamhitaji mshereheshajiKwa uhalisia watu wengi hawaipendi CCM, tatizo hao wengi hawaenda piga kura.
Pia tatizo jingine ni Ujinga na Umasikini
Sioni kama kocha wa simba anastahili kufurahi sana kisa matuta. Mwalimu anatakiwa ajifunze kuifanya team icheze mpira mzuri sio kuungaunga dakika 90.