Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Sahihi kabisa dada. Brazil ilichukua kombe la dunia 1994 dhidi ya Italy kwa mikwaju ya Penalty, mwaka 2006 Italy ilichukua kombe la dunia dhidi ya Ufaransa kwa mikwaju ya Penalty na 2022 Argentina ilichukua kombe la dunia dhidi ya Ufaransa kwa mikwaju ya Penalty. Wengine historia hiyo hawaijui, ama walikuwa wananyonya au hawajazaliwa kabisa!
Wao wenyewe si walichukua Kombe la Mapinduzi kuke Zanzibar kwa mikwaju ya penalti

Na tena walifunga mji hapo Posta ferry wanapokuja kutoka Zenji.
 
Yaani Amina Kyando hafai kbs....Kwa Maoni ya Wana Utopolo...

Na Huyu Jonesya Rukya Hafai....Kwa Maoni ya Wana Utopolo ....

Sasa next Match Mleteni Hersi au Mzungu pori...!

Ndani ya 90' ....mnawapa majukumu mazito wachezaji, Urefa na Kucheza pia..! Ndo mana wamekosa penati...
Walijikausha pale alipopeta penati mbili za halali
 
Pole bana ila kuna mwamba humu anaitwa PakiJinja aliwahi kusema binadamu tuna maisha ya kujitakia

View attachment 2716587
Yanga inabidi tutoke kwenye 'maombolezo' ya Mayele. Timu tuliyo nao ndiyo hii na usajili umeshafungwa, iliyobaki ni coach na yeye kuonyesha uwezo wake kwa kutumia wachezaji waliopo kupata ushindi.
Hizi habari za angekuwepo Mayele ni za kipuuzi.
Hata kipindi Mayele yupo, ilitakiwa wawe na mchezaji wa aina yake ili kum challenge na ku rescue timu pale lolote lingetokea kwa Mayele, badala yake wakachagua kumng'ang'ania Mzize wakituaminisha ni Yosso kumbe ni 'Komandoo Yosso'.
 
Acheni kumharibia kibarua mwenzenu.


Tatizo sio wapigaji bali ubora wa Goalkeeper ndo umechangia matokeo hayo.

Mkude mwacheni ale mafao yake vema kazi yake imeonekana. Alimficha Ngoma Nangwa vilivyo
Wanachotaka kukifanya ni kumgombanisha Mkude na mashabiki, viongozi na wachezaji wenzie.

1) hakuna ishara yeyote kati ya Mkude na mchezaji yeyote wa Simba juu ya kujadili kuhusiana na hilo.
2) kuingia kwa Mkude moto uliouwasha ni ule ule kamficha hadi aliyeibiwa airport. Kama angekuwa na nia nzuri na Simba angewaonea huruma kwa kucheza kwa kiwango cha chini.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Wanaosema Simba haina magoli kwenye Ngao ya jamii ni weupe.

Leo imeipiga Yanga fainali magoli 3 safi na nusu fainali imeipiga Singida 3 safi.
Kusema Simba haina magoli ni upotoshaji na anayesema hivo anastahili kushitakiwa, Simba ndo timu pekee kwenye hii Ngao yenye magoli mengi na umati mkubwa wa watu umeshuhudia tena kwenye vyombo vya habari ,uwanjani na maredioni,ni uwendawazimu kusema Simba haina magoli wakati ndo timu pekee yenye magoli mengi
 
Mechi ya Derby tulioshinda mbili hukuona kazi kubwa aliyofanya Mzamiru na Kanoute?

Tena wakati huo Yanga ilikuwa na mido ngumu chini ya Aucho na Bangala sio kama hivi sasa ilivyo.
Ile moja mzamiru alikaba saana, je tunahitaji kuwa tunakaba game zote, hatuhitaji kucheza.

Kuna game ilikuwa kwa mkapa na dodoma nafikiri, walikuwa nusu.. bado walikuwa wametawala kati, kiasi myunda akamuuliza saidoo, "inakuwaje watu pungufu halafu wanacheza wao"

Amini nakwambia hizi midfielders ni wavunja kuni ndugu yangu🤣
Mtizame ngoma kisha jaribu kutizama kina mzamiru na ndugu yake kanoute.
 
Mwenye deni anajulikana.Kapigwa 2 sifuri ndani ya dakika 90.Leo anachagua adhabu eti kwanini kafungwa kwa penalti?
Mfungwa hachagui gereza wala adhabu.Anatii tu bila shuruti.
 
Hongereni Simba kwa ushindi wa matuta, mpira una matokeo katili.

Asiyeipenda Ccm bora aachane na Siasa, mission complete.

Wenye akili tu ndio watalielewa andiko hili.

DP karibuni sana Watanzania wote tumeridhia tuna raha.
Kwa uhalisia watu wengi hawaipendi CCM, tatizo hao wengi hawaenda piga kura.

Pia tatizo jingine ni Ujinga na Umasikini
 
Niliona anayaelekeza mautopolo wapi pa kupiga penalti, nikajua kwisha habari ya utopolo.

Ajabu na kweli, mautopolo yamepiga penalti zote upande mmoja, hata ile ya kwanza iliyojaa kimiani.

Thank you Mkude.
hili hata mimi nililiona akiwaambia wapige upande wa kulia mwa salimu na kweli yakapiga huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

kqzi tyliyokutuma mkude umeifanya vizuri
 
Bora Azam Angepewa nafasi ya CL,

Kwenda kwenye michuano mikubwa ya CL CAF na Timu Malalamiko namna hii ni Mikosi
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Mimi huwa napenda kujadili na mtu anayejuwa mpira.

Ukweli uliowazi bado timu zote mbili zinajengwa.

Nabi ilimchukuwa misimu miwili na kuvumiliwa ili Yanga kupata mafanikio.

Simba INA advantage kubwa kucheza super cup bila kujali matokeo itakayopata lakini watakuwa na timu, take it from me.

Yanga marekebisho ni machache kuliko Simba, niliwaambia hapa kuhusu Miquison aliyempa mkataba wa miaka mitatu kawaingiza chaka.

Kuhusu imani za kishirikina zipo huko, hizi timu zote mbili zinamilikiwa na serikali.
Miq na Chama wameletwa Simba kiushabiki.

Hata kipa wa leo ataendelea daka kiushabiki
 
Sioni kama kocha wa simba anastahili kufurahi sana kisa matuta. Mwalimu anatakiwa ajifunze kuifanya team icheze mpira mzuri sio kuungaunga dakika 90.

Umepoteza kumbukumbu mwezi Aprili , 16 alikupiga 2-0 ndani ya dakika 90. Nayo tusemaje?
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom