Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Wao wenyewe si walichukua Kombe la Mapinduzi kuke Zanzibar kwa mikwaju ya penaltiSahihi kabisa dada. Brazil ilichukua kombe la dunia 1994 dhidi ya Italy kwa mikwaju ya Penalty, mwaka 2006 Italy ilichukua kombe la dunia dhidi ya Ufaransa kwa mikwaju ya Penalty na 2022 Argentina ilichukua kombe la dunia dhidi ya Ufaransa kwa mikwaju ya Penalty. Wengine historia hiyo hawaijui, ama walikuwa wananyonya au hawajazaliwa kabisa!
Na tena walifunga mji hapo Posta ferry wanapokuja kutoka Zenji.