Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

Haaa haaa mwenye penati anajulikana. Kaingia kwenye kumbukumbu ya hatrick ya save. Tena zingine kazimeza
Alikuwa akizikumbatia kwa upendo,πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜ƒbahat mbaya Aziz Ki alipeleka penat yake kwa hasira, Katoro akaghairi kuipokea
 
Hongereni Utopolo wazee wa Medali..mmevaa tena Medali kama kawaida yenu.. hongereni sana
 
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜ƒ nani kakwambia mtani kuwa hazina mwenyewe?

Mwenyewe keshapatika ni Ally Salim Katoro πŸ˜†πŸ€£

Au nasema uongo ndugu zangu Kalpana cocastic Scars OKW BOBAN SUNZU Bantu Lady
HAswaaa halina ubishi..japo naona kampeni za kumuharibia zipo lukuki ila imeisha hiyooo..yani imeenda..wana Simba tutembee vifua mbele..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…